Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Emar haya ni masaa mawili mshahara kwa Mfanyakazi w mhindi kwa mwezi
IMG-20230901-WA0016.jpg
IMG-20230901-WA0015.jpg
 
Kiufupi miaka yako yote 6 hukuwa ukijua kitu chenye maana na ndani ya hio miaka 6 ulikua ukiambiwa hayo ni mauchizi achana nayo ww unaamini utatoboa mpka mfuko umetoboka😂😂 leo ndio unatafuta kitu cha kufanya wenzako waliokomaa mtaani leo wameshajiendeleza pakubwa pole dogo forex haikua bahati yako. Pambana na life sasa
 
Hicho ndo nilichowahi kukishindwa ,nimeanguka mara nyingi ila kusimama ni dk🤓🤓.
Angalia hizo ni gold ujue kuna dollar kuni naweka 0.11 nyingine 0.07
Mm ishu ya risk management nilishawahi ishindwaga .
Ukitrade na mm utakimbia wakati naweka order lakini am so smart and carefully one day nitapost hapa 1 mll dollar.
Afu cna hakika kama kuna mtz alishawahi fika 1M. Dollar
Ndomana nasema Tz waliofanikiwa ni chini ya 50.
Wengine maneno mengi,vitendo zero
Tanzania forex traders wanaofaidi wako chini ya 10% ya wanaotrade.

Wengi wanafanya gambling na wanaunguza account tu.

RM zero kwao
Hawana mafunzo.

Wengi wanajifunzia online na kuanza kutrade...
 
Tanzania forex traders wanaofaidi wako chini ya 10% ya wanaotrade.

Wengi wanafanya gambling na wanaunguza account tu.

RM zero kwao
Hawana mafunzo.

Wengi wanajifunzia online na kuanza kutrade...
Kumi kubwa chini ya 5% ,
Hakuna fx training ya online.
Ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa successful,....
RM ni muhimu but si Lazima , kwanza jua unachofanya ,
Cha muhimu uwee skilled vya kutosha.
Mfano mm naweza weka dollar 50 nikapata mia 3,
Nikaweka tena 50 nikapata 200, nikaweka 50 ,nikachoma but overall am in profit side.
Na siyo nikosee direction big no, kuna aina za nyuzi ambazo zipo out of man controll zin shut both side ,
Am on field how to deal with........
 
Hichi ndo ninachopenda ,habari za ku hold mwez sijui week 2afu unatoka na dollar 50,ni ufala
Gold ni chakula sana.

Ok ulitaka history yangu, sitaki mambo mengi naanza na history ya masaa mawili tangu nilipopost ile 30$ na 83$

Nimetoka sokoni na profit ya ngu ya 59$ hii ni pesa ya diesel na kula leo nakuwekea hapo.

Kabla sijakuwekea history ya wiki, na miezi.
 
Siyo Tickmill tu ni broker wengi tu ikifika usiku running cost inaongezeka kutokana na volume ya traders kupunguza ,so kuongeza spread ilu ku overcome running cost,halafu hilo swali lipo nje ya uwezo wake. Kumbuka ma broker nawenyewe wana access chat kwenye market pool ,na wanalipia siyo bure.....so siyo wao tu .
Achana na hizo blabla za welcome ndo u bigginer unaanzia hapo ,!
Hilo tu linaonesha wewe ni bigger ,nenda kajifunze forex siyo mtaji ,haina ufungamano kabisa mm dollar 5 naitrade gold vzr tu hata 3 dollar.
So ukiona mtu anakwambia lazima uwe na mtaji mkubwa shituka.
Kingine believe my words Tanzania successful trader 100 hawajafiak na hata 50 hawajifa. Na siyo wale wanaojitangaza wengi hawajitangazi ni kimya kimya.
Kama unabisha riganisha traders wa tz na south,
Anzia kwenye materials things kwanzia nyumba gari etc.na wa mbele .
Withdraw history na utayari wa ku act na kuamini mawazo yake
Naona umeamua usilaze udamu Sasa...🤣
 
Kabla ya mtu kukufundisha Muulize umepata nini,muuliza akupe trading history yake,Muulize withdraw history ,Muulize materials things.....
Watu wengi wanahisi fx ni utapeli kutokana wanaingia kichwa kichwa tu....wanahisi trading ni rahisi,
Sijawahi ona kitu kigumu hapa dunian I kama trading, trading ni ngumu kuliko kulima, ila ukiiweza ni rahisi kuliko kumsukuma mlevi .........achana na blabla go to field.jifunze pasuka upasukavyo.mm sikuwahi kufundishwa hata meaning of leverage ,vyote nilijifunza Mwenyewe do your own,kama hayupo tayari kuumia,kupoteza Muda,kudharauliwa, kupoteana kimaisha,kupoteza pesa,kuchekwa fx siyo kwa ajiri yakoView attachment 2735276
Vp mkuu wewe umenufaika vp na forex hadi sasa?
 
Labia majora nakuita Kwa mara ya tatu nimeipitia hii lost Kwa mara ya nne hivi unataka kunikatisha tamaa au ? 😅 Anyway sasa na hili jina mbona silielewi sawa 😅😅😅
 
Vp mkuu wewe umenufaika vp na forex hadi sasa?
Ukitaka kunufaika na forex hakikisha upo skilled vya kutosha,na kuwa skilled ni just technical and experience and 80% is psychology ,
I earned,I invested and am gonna to be rich below 30years.
Am not mentol na sifikiri kuwa hivyo,but it's good game and I handle it.
 
Lete sasa transactions history tumalize ubishi mkuu both sms screenshot na fx
 
Lete sasa transactions history tumalize ubishi mkuu both sms screenshot na fx
Ili iweje, am not mentor, na why to do so??
I learned my own,I hustle and struggle for my own ,but cpo kumaliza ubishi.
Alafu itafungua code zangu kwa kiasi kikubwa!
Then kama unahisi forex Is something do for your own risk,kama una hitaji another mind iku motivate ,the game z not for you, find another game
 
Mimi sijasema uwe mentor ila tu thibitisha ulichokua unakiandika tangu mwanzo wa uzi

Karibu sana mkuu
 
Ili iweje, am not mentor, na why to do so??
I learned my own,I hustle and struggle for my own ,but cpo kumaliza ubishi.
Alafu itafungua code zangu kwa kiasi kikubwa!
Then kama unahisi forex Is something do for your own risk,kama una hitaji another mind iku motivate ,the game z not for you, find another game
Acha maneno mengi weka trading history yako hapa tuone.

Au tupe mt4 investor's account credentials tuone hali yako sokoni.

Au tuwekee withdrawal records zako hapa.

Kinyume na hapo wewe ni tapeli
 
Back
Top Bottom