Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Screenshot_20230526-154043.png
unapokuwa mda mrefu kwenye soko unakuwa minded traped ,mm natrade us session na trade news tu, na na weka order on 2 min before news natoka soon after reaction 15-2 hours na maintain my mind and all psychological traps
 
Sijawahi kufundishwa na mtu na sintomfundisha mtu ,nimekula kisago cha miaka mnne toka2019 hadi mwaka huu, ushauri usifundishwe na mtu hadi akuoneshe materials things alizonazo,
Pili jifunze mwenyewe ,forex haifundishwi , unapoteza mda na pesa bure,go to the field start to learn ,approximately 5 years ,....peke yako .usikatishwe tamaa , usimpe mtu pesa
Mwisho hakikisha una kipato cha kazi tofauti na forex ,na u deposit kiasi unachomudu kupoteza.
Jifunze mwenyewe narudia ukitaka kufanikiw kwenye fx jifunze mwenyewe
,
Ila usiache kazi au chuo kisa fx. Binafsi nafanya kazi na fx napiga.huu ni ujinga wa watoto wa chuo wanaacha kazi au chuo kisa fx.
Screenshot_20230601-152528.png
 
Kabla ya mtu kukufundisha Muulize umepata nini,muuliza akupe trading history yake,Muulize withdraw history ,Muulize materials things.....
Watu wengi wanahisi fx ni utapeli kutokana wanaingia kichwa kichwa tu....wanahisi trading ni rahisi,
Sijawahi ona kitu kigumu hapa dunian I kama trading, trading ni ngumu kuliko kulima, ila ukiiweza ni rahisi kuliko kumsukuma mlevi .........achana na blabla go to field.jifunze pasuka upasukavyo.mm sikuwahi kufundishwa hata meaning of leverage ,vyote nilijifunza Mwenyewe do your own,kama hayupo tayari kuumia,kupoteza Muda,kudharauliwa, kupoteana kimaisha,kupoteza pesa,kuchekwa fx siyo kwa ajiri yako
Screenshot_20230530-072927.png
 
Nilishawahi fika dollar 40,000( million kama 90) nikapoteza zote nikarud dollar 10, imagine .....afu uniambie fx ni rahisi .na ni mwaka huu huu miezi 2 iliyopita .
Fx inaitaji ukitoa waweza kuwa tajiri overnight na unaweza kuwa maskini huna hata mia overnight ,ni game gumu la kibabe sana
 
Nilishawahi fika dollar 40,000( million kama 90) nikapoteza zote nikarud dollar 10, imagine .....afu uniambie fx ni rahisi .na ni mwaka huu huu miezi 2 iliyopita .
Fx inaitaji ukitoa waweza kuwa tajiri overnight na unaweza kuwa maskini huna hata mia overnight ,ni game gumu la kibabe sana
Unatumia broker yupi
 
Kutrade news ni kubet zaidi
Hata Mimi ndo nawaza hivyohivyo labda ni kipaji maalum...😂

Turudi kwako mkuu nakumbuka nilishawahi kukuuliza maswali na hukuyajibu! Umejileta mwenyewe..

Kwanini tickmill ikifika mid night spread inaongezeka...?? Jibu hili swali ndugu...
Pili niambie kuhusu welcome account ya tickmill je faida unatoa mpk shingapi...???
 
Just forex, mkuu nampenda huyu broker kwa mambo mawili, easy to deposit and withdraw.
Pili naweza weka order even ten second before news ( hana ujinga wa kuongea spread) one to 2 min before news
Naona tickmill kanikimbia...🤣

Deposit ananzia shingapi
 
Upuuzi ,hakuna kubet,nani kasema fx unabet??😅🤣 ......go to the field and learn 🤛🤛🤛,
Naweza itoa dollar kumi nikaipeleka mia on 3 min,
Nimefanya mara nyingi,
Na hakuna sehemu kutamu kama kwenye nyuzi,
Nyuzi zote nipo awere nazo ,nimekaa nikajifunza,kama unabisha leo kuna unemployment rate ya us nitakupa matokeo,stay tune
Kutrade news ni kubet zaidi
 
Just forex, mkuu nampenda huyu broker kwa mambo mawili, easy to deposit and withdraw.
Pili naweza weka order even ten second before news ( hana ujinga wa kuongea spread) one to 2 min before news
Try Tickmill pia hutojuta
 
Try Tickmill pia hutojuta
🥳🥳🥳🥳,Nilishawahi kumjaribu tatizo lenu mnaanzia dollar 100,
Punguzeni deposit money and tumieni both option mobile and bank.
Ila Tickmill ndo broker wangu wa kwanza,💪💪
He is good but not for bigginer
 
[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060],Nilishawahi kumjaribu tatizo lenu mnaanzia dollar 100,
Punguzeni deposit money and tumieni both option mobile and bank.
Ila Tickmill ndo broker wangu wa kwanza,[emoji123][emoji123]
He is good but not for bigginer
Bro, kesho tunatoa training free of charge.
Baada ya hapo tutatoa mapendekezo rasmi ili washushe kiwango cha kudopist, very soon hilo linarekebishwa.

Mbali na kiwango cha kudeposit...Tickmill hana mshindani kwa ubora na low spread.

Unafungua trade unaanza na bluu
 
Mm natuma just forex KWA sababu mm ni fundamental trader,sasa kama unatumia technical analysis ,
Kitu cha muhimu ....
1.easy way to deposit and kuwithdraw
2.kiasi cha kudeposit na kuwidraw kiasi rafiki

3.urahisi wa account verification
4.verified broker
5.leverage ni muhimu nzuri siyo leverage ya 500 mm hainifai ,mm napiga margin ya kibabe na ndomana naweka order on seconds b4 news


Yeye broker anaruhusu kuanzia kiasi gani...
 
Back
Top Bottom