Means broker hana assess ya chat na yeye ananunua chat but kuna legal authority zinawacontrol ma broker mfano kuna baadhi ya nchi zimeweka sheria kali kuhusu hawa wamba.
Broker hawez tengeneza chat ila anaweza control spread,margin , small manipulation za sl na tp.
Huna unachojua haujaja kujitunza.
Umekuja kubishana
Na hizo authority ndo zinazoshighurika na hayo mambo.
Ingekuwa illegal basi no banks or institutions inge deal nao,
Naangalia ma broker mfano XM,OANDA,FTMO, my fx fund na Mabroker wenye authorization za CANADA na USA even South africa ,maswala ya finance kuna sheria kali mno.
Incase unanipotezea muda