Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

some humans have fed you amaizing lies, na ulivo mvivu wa kusoma na wewe ukajaa, nenda tena kasome forex market ni nn and how it works and why its even there in the first place, na utafute watu wanaojielewa sio wanaouza signal na courses
Sawa
 
Means broker hana assess ya chat na yeye ananunua chat but kuna legal authority zinawacontrol ma broker mfano kuna baadhi ya nchi zimeweka sheria kali kuhusu hawa wamba.
Broker hawez tengeneza chat ila anaweza control spread,margin , small manipulation za sl na tp.
Huna unachojua haujaja kujitunza.
Umekuja kubishana
Na hizo authority ndo zinazoshighurika na hayo mambo.
Ingekuwa illegal basi no banks or institutions inge deal nao,
Naangalia ma broker mfano XM,OANDA,FTMO, my fx fund na Mabroker wenye authorization za CANADA na USA even South africa ,maswala ya finance kuna sheria kali mno.
Incase unanipotezea muda
 
good! for your benefit no need kujitengenezea destiny ambazo sio kwel
My destiny is not ur responsibility .sawa so if you see it's benefit may be for you.
Forex imenitengeneza na inazidi nitengeneza.
Ni kazi kama nyingine , but ni ya smart and intelligence people,ww kuwa chawa wa uvccm kasifie ushuzi wa watawala afu upewe buku saba au usubiri uteuzi.
Ndo density y'ako ilipo
 
Kuna watu wanajua kukomalia vitu vya watu na haviwahusu, sijui ni kuwashwa?
 
Brother siyelew ,
Hana anachojua haelewi chochote sijui.
Anataka nini ,?😅
Anakuja ana nishauri niache fx wakati yeye ni UVCCM wanategemea uteuzi na buku saba.

CCM chama changu kizuri sana lakini watu kawa wale ndo wanaofanya CCM ikaonekana ovyo
 
Means broker hana assess ya chat na yeye ananunua chat but kuna legal authority zinawacontrol ma broker mfano kuna baadhi ya nchi zimeweka sheria kali kuhusu hawa wamba.
Broker hawez tengeneza chat ila anaweza control spread,margin , small manipulation za sl na tp.
Huna unachojua haujaja kujitunza.
Umekuja kubishana
Na hizo authority ndo zinazoshighurika na hayo mambo.
Ingekuwa illegal basi no banks or institutions inge deal nao,
Naangalia ma broker mfano XM,OANDA,FTMO, my fx fund na Mabroker wenye authorization za CANADA na USA even South africa ,maswala ya finance kuna sheria kali mno.
Incase unanipotezea muda

unaongea pumba! jifunze kusoma kuelewa sio kubisha:
1695017688231.png
 
Huna unachojua kuhusu forex.....fanya unaloliona ni sawa

ongeza bidii kwenye kusoma na upunguze ubishi usio na kichwa wala mkia, there is a reason kwann mmeambiwa mnabet na sio kutrade usione wewe ndo una akili sana
 
My destiny is not ur responsibility .sawa so if you see it's benefit may be for you.
Forex imenitengeneza na inazidi nitengeneza.
Ni kazi kama nyingine , but ni ya smart and intelligence people,ww kuwa chawa wa uvccm kasifie ushuzi wa watawala afu upewe buku saba au usubiri uteuzi.
Ndo density y'ako ilipo
Destiny gan 😂 😂 😂 , kitakachokusaidia ni kupunguza ubishi kwa kitu usiokijua, forex sio sehem ya kuearn na wala sio kazi ndo maaana courses znauzwa hazitolewi bure,

- forex sio biashara ya kupata kipato na wanaofanya forex full time hawana hata lengo la kupata faida ni nyie na viherehere vyenu

1695018206175.png
 
My destiny is not ur responsibility .sawa so if you see it's benefit may be for you.
Forex imenitengeneza na inazidi nitengeneza.
Ni kazi kama nyingine , but ni ya smart and intelligence people,ww kuwa chawa wa uvccm kasifie ushuzi wa watawala afu upewe buku saba au usubiri uteuzi.
Ndo density y'ako ilipo

next time acha ujuaji wa kishamba
 
Means broker hana assess ya chat na yeye ananunua chat but kuna legal authority zinawacontrol ma broker mfano kuna baadhi ya nchi zimeweka sheria kali kuhusu hawa wamba.
Broker hawez tengeneza chat ila anaweza control spread,margin , small manipulation za sl na tp.
Huna unachojua haujaja kujitunza.
Umekuja kubishana
Na hizo authority ndo zinazoshighurika na hayo mambo.
Ingekuwa illegal basi no banks or institutions inge deal nao,
Naangalia ma broker mfano XM,OANDA,FTMO, my fx fund na Mabroker wenye authorization za CANADA na USA even South africa ,maswala ya finance kuna sheria kali mno.
Incase unanipotezea muda

they dont create charts and they can never do that, charts follow what main traders do, you follow what they do because you dont own any currency but a position on a broker
 
Kuna watu wanajua kukomalia vitu vya watu na haviwahusu, sijui ni kuwashwa?

na wewe ujifunze kuelewa vitu usirukie tu, sio kila mtu ana akili fupi kama yako kiasi kwamba utaanza kumjaza pumba za forex ilihali we mwenyewe hujui forex ni nn
 
Brother siyelew ,
Hana anachojua haelewi chochote sijui.
Anataka nini ,?😅
Anakuja ana nishauri niache fx wakati yeye ni UVCCM wanategemea uteuzi na buku saba.

CCM chama changu kizuri sana lakini watu kawa wale ndo wanaofanya CCM ikaonekana ovyo
maybe 😂 😂 😂 , we unadhan kila mtu unamjaza uongo unavodhan
 
Back
Top Bottom