Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rejea comment yangu hapo juu.

Itafakari kwa kina.

The FX game is a pay to play game.

It's an academic exercise. Ndiposa institutions zinaajiri watu wana PhD za economics, finance, tech (programming), investments etc. Financial markets is an in-depth global industry.

YouTube video mbili tatu kusoma candlesticks hazina msaada. @labia.majora jipange. Utafanikiwa!
 
Nina miaka 6 natizama kendo
 
Hilo halina ubishi, Nami nimetoka huko huko ambapo deposit ni nyingi na withdraw ni kidogo au hakuna kabisa, Nakuelewa sana unachokizungumza.
Unamuda mrefu, unajua mengi, ila ni yale yasio na msaada kwenye Real Live Market Situation. | Trading haihitaji mambo mengi, ni ABC's chache sana,
Hizo ABC's chache ni zipi?. Would you not mind to share them?. They can be helpful to the newbies.
 
Back
Top Bottom