Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 595
- 1,490
Nipewe udokta wa heshima ikimpendeza makamu mkuu wa chuo cha yudisimu kwa mchango wangu mkubwa kwenye soko la mabadilishano ya sarafuUpewe tuzo
Forex haitak uwe na pesa za kubangaiza .kwa mtazamo wangu mimi kutokana na experience yangu katika soko kwa zaid ya miaka 6 nimegundua ni ngumu forex kukuendeshea maisha kwa asilimia 100 kwaiyo kwa sasa nimekaa pemben nitafute ajira yenye constant flow of salary
Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama weweBaada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex
Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situationKama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex
Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leokupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani
Hongera boss ila note kwamba 99% of tredaz are loosersSio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe
Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation
Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF
Angalia
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
- Entry price
- Angalie Exit price
Unamuda mrefu, unajua mengi, ila ni yale yasio na msaada kwenye Real Live Market Situation. | Trading haihitaji mambo mengi, ni ABC's chache sana,miaka 6 nimegundua ni ngumu forex
Kwenye fx ushatengeneza dola ngap toka uanze?Unamuda mrefu, unajua mengi, ila ni yale yasio na msaada kwenye Real Live Market Situation. | Trading haihitaji mambo mengi, ni ABC's chache sana,
Hilo halina ubishi, Nami nimetoka huko huko ambapo deposit ni nyingi na withdraw ni kidogo au hakuna kabisa, Nakuelewa sana unachokizungumza.Hongera boss ila note kwamba 99% of tredaz are loosers
Rejea comment yangu hapo juu.Kwenye fx ushatengeneza dola ngap toka uanze?
[emoji23][emoji106]sawa mkuu nimekuelewaRejea comment yangu hapo juu.
Itafakari kwa kina.
Mkuu una maarifa mengi sijui nije Ni stay hapo home Kama mwaka nile maarifa life sio mchezoHilo halina ubishi, Nami nimetoka huko huko ambapo deposit ni nyingi na withdraw ni kidogo au hakuna kabisa, Nakuelewa sana unachokizungumza.
[emoji23][emoji106]sawa mkuu nimekuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole na hongera kwa kuacha
Ila ndio ujiite labia majora mkuu?[emoji38]
Strategy gan unatumia mkuu?Sio njia sahihiya kujifunza | Na hili nililitambua miaka michache iliyopita, Kiufupi nilianza kama wewe
Hili ni moja ya kosa kubwa ambalo tunalifanya, tunajijaza taarifa nyingi zisizo na tija kwenye Real Live market situation
Uko sahihi, Na hii hapa chini ni screenshot ya trade yangu ya kwanza siku ya leo
View attachment 2586202
Pair | GBPCHF
Angalia
Utagundua mchawi kwenye FX ni entry na exit, Na ukiwa na tools sahihi za kukuwezesha kubaini entry na exit basi hapo tayari umetoboa
- Entry price
- Angalie Exit price
NapokeaView attachment 2586209
Fungua m15 chart | CADJPY, CADCHF | Kisha angalia entry price, Angalia projected TP price.
Ni hayo tu.
- Inatakiwa ufike mahala ujue nini ambacho unakosea,
- Nini ambacho unazani kinakurudisha nyuma.
Akijibu utanitagKwenye fx ushatengeneza dola ngap toka uanze?