Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

nyuzi gan wakati hata FX market huijui
 
🚮 akili za buku saba hizi,zinahimiza watu wakatimize ndoto za watu badala ya ndoto zao.
kesho uwahi ofisini alafu ni aibu unatetea kitu huna uelewa nacho, next time uliza uelimishwe
 
🚮 akili za buku saba hizi,zinahimiza watu wakatimize ndoto za watu badala ya ndoto zao.
si umesema umeajiriwa na bado unatengeneza mamilioni kwenye forex every 2 days? 😂 😂 : msipende kua waongo waongo na some kwanza vitu kwa undan kabla ya kuropoka haya uwahi ofisini sasa
 
🚮 akili za buku saba hizi,zinahimiza watu wakatimize ndoto za watu badala ya ndoto zao.
mm hua nasomaga nyuzi 😂😂, ukisoma nyuzi kila sku mamilioni yaani mpaka nachelewa kwenda kwenye ajira kisa NYUZI 😂😂, natengeneza mamilioni kwenye nyuzi kwahio naweza nkachelewa ata ofisini
 
Haya sijui ,hii ni leo nimeweka order kwanzia jana angalia lot, afu angalia balance,nimeset account KWA ajiri y'ako,
Week hii iyo account, naipeleka jero si fanyi technical but I doing ,to shut up ur mouth😛😛
Soma tarehe sawa nimekwambia it's week hii,afu Saa tisa na nusu karibu kwenye urimwengu wa Wanawake warembo( news)
nyuzi gan wakati hata FX market huijui
 

Attachments

  • Screenshot_20230919-093743.png
    17.3 KB · Views: 16

Nikaongeza order sawa😛😛😛
 
Nawewe weka order,pumbavu😛 usisahau lot ni unyama afu balance ni mkia sawa balance ni dollar 30 tu lot0.16 ,
Mm maswala ya risk management ndo siyaelewagi,
Alafu kuwa makini na kazi za watu forex siyo kubet sawa
 
Ps ni 50 tu usisahau ,usije ukachoma accnt ww si unasema forex ni betting,nakuonesha sasa,nataka utrde tufike pamoja jero,jero ni milioni 1.2😛
 
Mbana unajichanganya nani kakwambia hawana akili.
Mm nafanya kazi KWA malengo.
Kazi ninayoifanya ni my professional na nimeisomea chuo so naipenda.
Kutrade hakuusiani na kazi yangu
- Na wala huringi na kuajiriwa yaani , hio ofisi yote amna mwenye akili zaidi yako wote hawana akili ni wewe tu ndo una akili 😂
 
Mbana unajichanganya nani kakwambia hawana akili.
Mm nafanya kazi KWA malengo.
Kazi ninayoifanya ni my professional na nimeisomea chuo so naipenda.
Kutrade hakuusiani na kazi yangu
words of every forex chicken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…