Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Ikiwa unataka kufikia lengo, fungua akaunt kadhaa.

Kati ya hizo 2 ziwe za lot size kubwa yaani ku risk.

Zingingine zingatia RM.
Mimi nina akaunti kubwa 2 kati ya hizo moja sifuati Risk management, hiyo nikiirusha unaweza kufikiri ni demo[emoji28]

Nyingine kubwa nafuata RM 100%

Hii naitumia kufundishia wanafunzi kuzingatia RM.
Nina akaunti ndogo ndogo 4 hizi
1. Moja ya kuninunulia diesel mjini
Zingine za matumizi ya hapa na pale.

Katika forex malengo muhimu
Well noted.
 
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.

Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika kuwa na utajiri mkubwa sana. Kama yupo yoyote ambae angependa kuanza biashara hii anichek niweze kushare nae important pdfs kuhusu forex na useful YouTube channels zenye material ya forex.

Mwisho kabisa nipende kuwatia moyo wote ambao n ndoto yenu kuprint pesa nyingi kupitia biashara hii kwamba forex is real na sio scam kama inavyosemekana uko mitaani.

Nawasalisha
Wako katika ujenzi wa taifa
Labia majora

View: https://youtu.be/w6JXZ3GzSCQ
 
Mkuu samahani nje ya mada lakini kujibandika id kama yako ni kujitia nuksi.
 
View attachment 2755568View attachment 2755570soma balance b4 na after naipeleka hii account dollar 500 ,tukutane Saa 3 kamili usiku ,kuna mke wangu interest rate decision naenda kumtoa bikra😛😛😛😛,
Hujawai kuingiza laki ndani ya dk 3,ukiwa umekaah

View attachment 2755564soma balance na tar kabisa mpuuzi ww ,afu nimeingiza dola 55 ndani ya dk tatu unajua sh ngapi karibu laki na 20 ndani ya dk 3
Hivi ni muda gani unaweza ukajua huu muda sasa news imekaribia uingie sokoni na je news zinakuwepo kila siku????
 
Nina account ina balance ya mara mia mbili ya balance ya account ya jana jana kilichopotea
Ni 1/200😛😛😛
Ni micro sasa ,hata hakiniumi na hata hvyo mm sito technical mm ni fundamental
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom