Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Hahahaha am fundamental trader by the way,nipo kwa ajiri ya kukufumba mdomo,afu naweza kukugaika ka laki mwisho wa wiki uache uchawa
1695216290419.png

mimi ni master wa fundamental wengine wancheza hawana akili, lazima niwafunge mdomo wote na kila mtu namtumia laki mwisho wa wiki ๐Ÿ˜‚
 
Hahahaha am fundamental trader by the way,nipo kwa ajiri ya kukufumba mdomo,afu naweza kukugaika ka laki mwisho wa wiki uache uchawa

najua wabongo wenye $1M ni wachache kwa sababu hawana akili na hajui NYUZI, mwaka huu nafikisha $1M ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Hahahaha am fundamental trader by the way,nipo kwa ajiri ya kukufumba mdomo,afu naweza kukugaika ka laki mwisho wa wiki uache uchawa

sisi mbna hatuna shida na wewe ishi tu freshi na uache kujiweka kama chizi, ukielimishwa uelewe maaana nlikwambia utazipoteza izo ela zote, deposit tena
 
Mpuuzi ww unataka nikuoneshe account ipi ,nimeshatoka on sport kitambo.
Nilianza na 40 afu tunaenda mia tano sawa.
Nipo kazini hivyo sipo free kama ww kila Mda kuwepo online ,kuwa chawa ili ule

Kama uamini uniambie naweza ipunguza ikawa kumi afu nianze tena ,usije ukasema 90 kubwa naweza ileta kumi afu nikaipandisha kama kawaida
Screenshot_20230920-170905.png
 
View attachment 2756051

hatutaki hio balance tuntaka kuona hio position ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Una kiherehere sana ww nilishatoka nafanya 4 to three trade to mia tano sawa chawa๐Ÿค“๐Ÿ˜›

kelele za nn weka positions zako apa, trade history ya jana na leo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bro mimi nipo kazini nafanya kazi sisubiri uchawa sawa,so naingia nipatapo muda sikai KWA shemeji

watu wote bongo hawana akili mm tu ndo nna akili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, wiki hii natumia ngombe zote laki, watu wa forex ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,
 
Bro mimi nipo kazini nafanya kazi sisubiri uchawa sawa,so naingia nipatapo muda sikai KWA shemeji
by the way ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sasa unajisifia kua mwajiriwa dont you see yourself as a SLAVE
 
Bro mimi nipo kazini nafanya kazi sisubiri uchawa sawa,so naingia nipatapo muda sikai KWA shemeji

BY THE WAY, mm ni master fundamental ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, NYUZI kila mtu namtia laki mwisho wa wiki
 
Bro mimi nipo kazini nafanya kazi sisubiri uchawa sawa,so naingia nipatapo muda sikai KWA shemeji

kwahio wewe duniani thamani yako ni nn sasa kama unaendeshwa ivi na ajira ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bro mimi nipo kazini nafanya kazi sisubiri uchawa sawa,so naingia nipatapo muda sikai KWA shemeji
NYUUUUZI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, fundamental master kila wiki natia watu wote laki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom