Oky labda nikushauri jambo, most hakuna nyuzi ya kusema ni very important au nyingine siyo important,lakini kuna nyuzi zenye high liquidy mfano NFP,interest rate,employment and un employments but most kwa Us news , especially kama unatrade Gold ,fatilia kila nyuzi,
Siyo nzuri ni nzuri kwa jina hapana,kwa mfano kama ulifatilia interest rate ya mwezi uliyopita ilikuwa na impact hasi.
Kitu pekee ninachoweza kukushauri kuwa news zinaochochea kumaliza movements au kuanza movements mpya ,pia kuanzisha new movements(new price action)
So fatilia tabia za news on 1 hrs to 3 min b4 news ,ili kujua tabia.
Tambua tabia ,jifunze tabia zina tabia harafu achana na unatrade news gani?
Bali trade impacts ya news kwa Muda husika.
Kumbuka news inaweza badilisha tabia ya soko zima kwa hiyo dk 15 kabla ya news hadi 3 tatu ni muhimu, dk 2 -15 baada ya news hizi ni dakika muhimu pia .
Nachoweza kukwambia news zina tabia zona tabia ,jifunze tabia zake,haitokuwa rahisi but it's possible