Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Ps ni 50 tu usisahau ,usije ukachoma accnt ww si unasema forex ni betting,nakuonesha sasa,nataka utrde tufike pamoja jero,jero ni milioni 1.2😛

sasa kwan kuna shida gan forex ikiwa betting, ni betting ndio kuna tatizo 😂 😂 😂 ? tatizo lenu vijana mna ujuaji wa kishamba umejua forex juzi kelele nyingi, yaaani inapoanzia hujui ila ujuaji mwingi, yaani unabishana mpaka na GPT4 , google, maaana yake we ndo una akili kuliko watu wote duniani
 
Mbana unajichanganya nani kakwambia hawana akili.
Mm nafanya kazi KWA malengo.
Kazi ninayoifanya ni my professional na nimeisomea chuo so naipenda.
Kutrade hakuusiani na kazi yangu

all in all punguza ujuaji wa kishamba
 
Nawewe weka order,pumbavu😛 usisahau lot ni unyama afu balance ni mkia sawa balance ni dollar 30 tu lot0.16 ,
Mm maswala ya risk management ndo siyaelewagi,
Alafu kuwa makini na kazi za watu forex siyo kubet sawa
View attachment 2754267

1695110869670.png
 
Hicho ndo nilichowahi kukishindwa ,nimeanguka mara nyingi ila kusimama ni dk🤓🤓.
Angalia hizo ni gold ujue kuna dollar kuni naweka 0.11 nyingine 0.07
Mm ishu ya risk management nilishawahi ishindwaga .
Ukitrade na mm utakimbia wakati naweka order lakini am so smart and carefully one day nitapost hapa 1 mll dollar.
Afu cna hakika kama kuna mtz alishawahi fika 1M. Dollar
Ndomana nasema Tz waliofanikiwa ni chini ya 50.
Wengine maneno mengi,vitendo zero
I believe you.
 
sold false dream 😂
Other factors constant, wewe upo kwenye nadharia yeye yuko kwenye matendo. So, kama anachosema ni kweli kutokana na kuwa anatenda, nitakuwa upande wake. It doesn't matter whether or not forex is betting. It is just a name. Doesn't change the reality on the field
 
Other factors constant, wewe upo kwenye nadharia yeye yuko kwenye matendo. So, kama anachosema ni kweli kutokana na kuwa anatenda, nitakuwa upande wake. It doesn't matter whether or not forex is betting. It is just a name. Doesn't change the reality on the field

ningekua npo kwenye nadharia nisingekua najua haya mambo yote, tatizo kubwa lilopo ni forex is a sold false dream! at the end ukweli unatakiwa kusemwa usipouchukua no one cares issue ni ukwel usemwe, na evidence ziwekwe ili kuokoa watu wengi kwan hawa vijana wanawapiga ela watu ambao hawana ujuzi
 
achana na mambo ya youtube tafuta strategy moja komaa nayo ukilala, ukiamka, ukila, ukiwa chooni, ukiwa unaoga, ukiwa kwenye show ijue strategy yako kama unavyokijua kiganja chako halafu maliza na risk management
Nipe strategy moja nikomae nayo mkuu
 
Screenshot_20230920-090140.png
soma balance na tar kabisa mpuuzi ww ,afu nimeingiza dola 55 ndani ya dk tatu unajua sh ngapi karibu laki na 20 ndani ya dk 3
 
alafu simu inatakiwa kua na line moja
Screenshot_20230920-090140.png
Screenshot_20230920-090911.png
soma balance b4 na after naipeleka hii account dollar 500 ,tukutane Saa 3 kamili usiku ,kuna mke wangu interest rate decision naenda kumtoa bikra😛😛😛😛,
Hujawai kuingiza laki ndani ya dk 3,ukiwa umekaa
 
Back
Top Bottom