stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ps ni 50 tu usisahau ,usije ukachoma accnt ww si unasema forex ni betting,nakuonesha sasa,nataka utrde tufike pamoja jero,jero ni milioni 1.2😛
sasa kwan kuna shida gan forex ikiwa betting, ni betting ndio kuna tatizo 😂 😂 😂 ? tatizo lenu vijana mna ujuaji wa kishamba umejua forex juzi kelele nyingi, yaaani inapoanzia hujui ila ujuaji mwingi, yaani unabishana mpaka na GPT4 , google, maaana yake we ndo una akili kuliko watu wote duniani