Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Nipo kutia moyo wale waliopoteza tumaini it's possible nimefanya mara nyingi nanafanya cjafika bado,
Ingawa nauona Mwanya kwa mbali sana ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜€
Cyo successfully bado najitafuta but kwenye mbio za wanaoenda na mm hata kama ni wa mwisho naenda.
Nipo kuonesha dunia trading is skill na si mtaji,kupoteza kupo mm nilishaga poteana ,even hakuwepo hata wa kunishika mkono, nilishaacha kazi ni trade ,matokeo yake nikakosa hata mia.
Nilisha deposit ada mwisho wa Siku nikaishia kurudia mwaka.
Kijana hii kitu ni possible but c rahisi hata kidogo,hakuna game ngumu kama hii .
Haijarixh upo smart shuleni au mtaani kiasi gani huku tuliza ball Acha wenye jifunze,Achana na wanaopiga kelele hata mil 1 hawana wanategemea mshahara wa laki tano KWA mwezi๐Ÿ˜€ wa masimango.
Hii kitu ni ngumu ila ukijua kuna raha furani unapata , imagine ndani ya Saa moja umeingiza mil 1 ,et unajixkiaje?๐Ÿค“

kingine unachotakiwa kujua ni retails dont trade the market they BET, na hakunaga kitu kama forex market because it doesnt exist
 
Screenshot_20230921_173802.jpg
 
N
unapoamua kumtia mtu moyo unatakiwa umuonyeshe mtu kila kitu anapoingia ajue anaenda kukutana na nn sasa wewe trade moja ushaanza kujificha unategemea watu wanatiwa vp moyo,

- pia trading sio kazi tushawaambia mara kibao hakuna mtu anatrade full time na hawezi kuwepo unless anajihusisha na kuuza COURSES, wanaotrade forex halisi lengo lao sio kutengeneza pesa na haijawahi kua ivo ni nyie viherehere na brokers ndo wanafanya watu waone kama forex ni kazi ila kiuhalisia wapo kibiashara zaidi, they make money from your trading activities
Nilishasema nikifika 1 mil dollar nitaacha kazi.
Now najitafuta.
Kuhusu waliopo kibiashara ni wao.
Usishau tumetoka 40 kwanza j4 kesho tutakamilisha ungwe nikikamilisha ungwe ndo itakuwa mara ya mwisho kukujibu.
Maana hujui Kitu afu unaongea sana. Afu nakupa kichwa bure
 
Kesho itakuwa mara ya mwisho kuchangia huu uzi ,ila tutakuwa kwenye nyuz nyingine,kuhusu wanao his tunabeti endelei ila najua moyoni unanikubali hata usipo nikubali nakukubali kinoma
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ men dont talk too much
 
N

Nilishasema nikifika 1 mil dollar nitaacha kazi.
Now najitafuta.
Kuhusu waliopo kibiashara ni wao.
Usishau tumetoka 40 kwanza j4 kesho tutakamilisha ungwe nikikamilisha ungwe ndo itakuwa mara ya mwisho kukujibu.
Maana hujui Kitu afu unaongea sana. Afu nakupa kichwa bure

we nmekwambia post trade history unazunguuka! walioweza kutengeneza $1M on forex sio RETAIL TRADERS ni aina ingine kabisa ya traders, hii itakusaidia: Most day traders end up losing money over time. Hereโ€™s why.

- hakuna retail mwenye consistency ya kutengeneza hata $5k kila mwezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, because your creating a false world for yourself , till then reality will show you how things have to go
 
N

Nilishasema nikifika 1 mil dollar nitaacha kazi.
Now najitafuta.
Kuhusu waliopo kibiashara ni wao.
Usishau tumetoka 40 kwanza j4 kesho tutakamilisha ungwe nikikamilisha ungwe ndo itakuwa mara ya mwisho kukujibu.
Maana hujui Kitu afu unaongea sana. Afu nakupa kichwa bure

traders wanaotengeneza $1M ni wale ambae wanafanya trading as a professional sio umetoka kupokea mshahara na akaunti yako ya MT4, kuna watu kazi yao ni trading mwaka mzima wana maofisi makubwa kabisa na wameajiri watu sio nyie vijana wa MT4 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo kwenye umentor ndipo panalipa unapokusanya wajinga wengi pesa lazima itengeneze
Sifanyi aina ya mentorship unayo ifahamu wewe au ile inayofanywa na wengine, Kiufupi SIFUNDISHI FOREX, bali nitakufundisha ku_trade ukiongozwa na EA za stratergy yangu

Mimi natrade live na mtu anayejifunza, hii ni katika kumuelewesha matumizi ya EA nne (4) nitumiazo kwa siku( yaani my trading stratergy nimeigeuza kuwa EA)
  • EA ya kwanza | Inanipa Daily trading direction
  • EA ya pili | Inanipa list ya Pair zilizo tayari kwa session husika
=
Mfano hai | Kwa siku ya leo London session natakiwa kuangalia
SELL Only
1695353819637.png

BUY Only
1695353844048.png

Haya ni matokeao ya Ea #1 na EA#2 ( hakuna maswala ya manually kuchagua pair)
- Kazi imebakia kwa EA mbili #3 itanipa entry price na #4 Itanipa Lotsize sahihi, Tuangalie mfano wa EURUSD ambayo tayari ni Active SELL | Utaona hapo EA #4 imenipa Lotsize ya 0.14, kwa SL ya 30pips ambapo ni 0.9% ya account size.
1695354015918.png

=

Kiufupi ni zoezi la siku moja tu, session moja tu, anakuwa ameelewa nini ambacho anapaswa kufanya.

Ili kudownload FREE EA nilizoweka public download hapa | Search | Forex Factory

Ukihitaji Business deal yeyote kuhusu Trading, EA coding, My Stratergy
  • Niandikie kupitia JamiiFotums PM Mwl.RCT
  • Niandikie kupitia ForexFactory PM @MwlRCT
  • Kupitia Telegram @MwlRCT
 
Sifanyi aina ya mentorship unayo ifahamu wewe au ile inayofanywa na wengine, Kiufupi SIFUNDISHI FOREX, bali nitakufundisha ku_trade ukiongozwa na EA za stratergy yangu

Mimi natrade live na mtu anayejifunza, hii ni katika kumuelewesha matumizi ya EA nne (4) nitumiazo kwa siku( yaani my trading stratergy nimeigeuza kuwa EA)
  • EA ya kwanza | Inanipa Daily trading direction
  • EA ya pili | Inanipa list ya Pair zilizo tayari kwa session husika
  • EA ya Tatu | ina pin point entry Price
  • EA ya Nne | Trade Manager | Kuona Baadhi ya trade zangu/ signal /Picha ya Trade maneger angalia hapa | Only Live Trades | Page 97 | Forex Factory
Kiufupi ni zoezi la siku moja tu, session moja tu, anakuwa ameelewa nini ambacho anapaswa kufanya.

Ili kudownload FREE EA nilizoweka public download hapa | Search | Forex Factory

Ukihitaji Business deal yeyote kuhusu Trading, EA coding, My Stratergy
  • Niandikie kupitia JamiiFotums PM Mwl.RCT
  • Niandikie kupitia ForexFactory PM @MwlRCT
  • Kupitia Telegram @MwlRCT
Noted...
 
traders wanaotengeneza $1M ni wale ambae wanafanya trading as a professional sio umetoka kupokea mshahara na akaunti yako ya MT4, kuna watu kazi yao ni trading mwaka mzima wana maofisi makubwa kabisa na wameajiri watu sio nyie vijana wa MT4 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Nan kakwambia mm nafanyia analysis kwny mt4 , my phone ina kaz moja tu ku place and close order , mt 4 ni kina templer huko
Hata hivyo kuna platform nying za kufanya analysis.
Anyway cpo kuku convince kama ww umeshindwa it's means ww ni mchache, ipo HV leo ndo siku ya mwisho ya kukujibu baada ya leo sitojibu Kitu chochote sawa
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ni unaongea kushinda mwanamke, badala ufanye kitu kimoja maelezo mengi, anyway unaionea aibu trade history yako ๐Ÿ˜‚, ulikua unataka kuaminisha watu kwamba umeajiriwa kwa sababu unaipenda kazi yako kumbe una shida nyingi, maisha hayahitaji majigambo!
 
Sifanyi aina ya mentorship unayo ifahamu wewe au ile inayofanywa na wengine, Kiufupi SIFUNDISHI FOREX, bali nitakufundisha ku_trade ukiongozwa na EA za stratergy yangu

Mimi natrade live na mtu anayejifunza, hii ni katika kumuelewesha matumizi ya EA nne (4) nitumiazo kwa siku( yaani my trading stratergy nimeigeuza kuwa EA)
  • EA ya kwanza | Inanipa Daily trading direction
  • EA ya pili | Inanipa list ya Pair zilizo tayari kwa session husika

Kiufupi ni zoezi la siku moja tu, session moja tu, anakuwa ameelewa nini ambacho anapaswa kufanya.

Ili kudownload FREE EA nilizoweka public download hapa | Search | Forex Factory

Ukihitaji Business deal yeyote kuhusu Trading, EA coding, My Stratergy
  • Niandikie kupitia JamiiFotums PM Mwl.RCT
  • Niandikie kupitia ForexFactory PM @MwlRCT
  • Kupitia Telegram @MwlRCT
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Nan kakwambia mm nafanyia analysis kwny mt4 , my phone ina kaz moja tu ku place and close order , mt 4 ni kina templer huko
Hata hivyo kuna platform nying za kufanya analysis.
Anyway cpo kuku convince kama ww umeshindwa it's means ww ni mchache, ipo HV leo ndo siku ya mwisho ya kukujibu baada ya leo sitojibu Kitu chochote sawa
nenda kibaruani usije kukata moto
 
Back
Top Bottom