Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

Rasmi sasa Tanzania yapoteza nafasi nne kwa Libya, miujiza ya Simba SC inasubiriwa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba.

Please maduka kuweni na huruma fikeni hata group stages basi, dah kakomboeni zile slots tena

Screen Shot 2021-10-25 at 13.36.41.png
 
Tanzania ni Simba pekee ndio ya kuwabeba wengine, ukiona Simba imefanya vibaya ujue mkombozi mwingine halafu mashabiki tukitaka hatua kali zichukuliwe kwa wazembe, utopolo wanasema mpira una matokeo matatu, hayo matokeo bakini nayo wenyewe, Simba itabaki waongoza njia siku zote.
 
Ishu wala sio kuwa na timu nyingi, sasa hapa kwetu hapa tupewe timu 5, hizo tatu ni zipi?? Kama hizo nne tu ndio kina biashara hao, wanaoleta mambo ya njaa njaaa kwenye michuano hiyo!! Unaweza kuwa na timu 2 tu zinazojitambua na kufika mbali sana kuliko kuwa na mi timu mingi pasipo faida yoyote!!
 
Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba.

Please maduka kuweni na huruma fikeni hata group stages basi, dah kakomboeni zile slots tena

View attachment 1986402
Nafasi 2 ndio tamu, 4 ni kiherehere tu hatuziwezi.
 
Nafasi nne tuwaachie wenye uwezo wa kipesa, hizi nafasi mbili ziwe zinagombewa na timu tatu tu, Simba, Yanga na Azzam.
 
nafasi 2 ndio tamu, 4 ni kiherehere tu hatuziwezi.
Hapana tunaziweza,ujue tunavyoshiriki sana hii michuano ndivyo tunavyozidi kupata uzoefu,naimani mwakani hata Mbeya city akishiriki hii michuano hatutakosea tena kujipanga kama nchi
 
Nafasi yetu bado ipo nikuiombea tu Simba aingie tena makundi shirikisho.....
Kitu siwez fanya ni huu ujinga, mara 100 ikosekane timu hata moja ila sio ujinga wa kuombea hao vibwengo
 
Simba ijipange vizuri kwaajili ya shirikisho tupiganie nafasi ya timu nne sioni uwezekano wa simba hii kuchukua ubingwa msimu huu kwa kikosi hiki cha Banda na Morrison
 
Libya wanapataje slots ya timu NNE ilhali timu yao pekee ya Al-Ittihad iliyokuwa ikishiriki hatua ya mtoano CAFcl imetolewa jana jumapili tar 24 kwa kufungwa na Esperence de Tunis..!??

Pia, sisi Tanzania tulikuwa na 27 accumulation points ilhali Libya walikuwa na 25 pts,,,, sasa ikiwa timu zetu na zao zimeondolewa hatua za mtoano CAF na hesabu ya points huanzia pale timu inapoingia makundi either Champions lg au Confederation,,, sasa hawa waLibya hizo slots za timu nne wame-gain kutokea wapi!????

Au mleta mada unataka kutuambia hizi nafasi zinatolewa kama zawadi tu na sio hesabu za points!????
 
Ishu wala sio kuwa na timu nyingi , sasa hapa kwetu hapa tupewe timu 5, hizo tatu ni zipi??kama hizo nne tu ndio kina biashara hao, wanao leta mambo ya njaa njaaa kwenye michuano hiyo!!unaweza kuwa na timu 2 tu zinazojitambua na kufika mbali sana kuliko kuwa na mi timu mingi pasipo faida yoyote!!
Faida ya Timu 4 ni kuwa na uhakika wa Yanga kuwepo. Imagine shirikisho Yanga hachukui na Ligi kuu pia hachukui what happens?
 
Libya wanapataje slots ya timu NNE ilhali timu yao pekee ya Al-Ittihad iliyokuwa ikishiriki hatua ya mtoano CAFcl imetolewa jana jumapili tar 24 kwa kufungwa na Esperence de Tunis..!??

Pia, sisi Tanzania tulikuwa na 27 accumulation points ilhali Libya walikuwa na 25 pts,,,, sasa ikiwa timu zetu na zao zimeondolewa hatua za mtoano CAF na hesabu ya points huanzia pale timu inapoingia makundi either Champions lg au Confederation,,, sasa hawa waLibya hizo slots za timu nne wame-gain kutokea wapi!????

Au mleta mada unataka kutuambia hizi nafasi zinatolewa kama zawadi tu na sio hesabu za points!????
mkuu inaonekana hujui namna wanahesabu point (ni five ranking), yani tz this season tumeingiza timu 4 kwakua tulikua na point 27.5, ila next season (ikitokea simba hajaenda makundi shirikisho) tutakua na point 20.5

mwakani wata-calculate point hivi,

2018 (points x 1)......tuna 0.5 (zile za yanga)
2018-19 (points x2).....tuna 3 (zile za simba)
2019-20 (points x3).....tuna 0
2020-21 (points x4)......tuna 3.5 (za simba na namungo)
2021-22 (points x5)....... (ndio tunasema simba aingie tu makundi tuvune point hapa), walau point 1 akishika nafasi ya 3 ambayo itatupa point 5, au hata akishika mkia 0.5 ambayo itatupa point 2.5 (i.e 0.5x5)

...........,.........
libya wakiingiza timu zao mbili makundi ya CAFCC, na zote zikavuka hatua ya makundi (au hata moja ikivuka watakua na uwezekano wa kutuzidi point)
 
Nafasi mbili ndiyo size yetu. Hizo nne zinazalisha tu akina Mtibwa, Biashara na Namungo! na ambao huishia kufungiwa na kutozwa faini na CAF kwa kukosa nauli, kutokana na ukata wa vilabu vyao.
Kwenye ligi usipokuwa wa pili utaendaje ?
 
mkuu inaonekana hujui namna wanahesabu point (ni five ranking), yani tz this season tumeingiza timu 4 kwakua tulikua na point 27.5, ila next season (ikitokea simba hajaenda makundi shirikisho) tutakua na point 20.5

mwakani wata-calculate point hivi,

2018 (points x 1)......tuna 0.5 (zile za yanga)
2018-19 (points x2).....tuna 3 (zile za simba)
2019-20 (points x3).....tuna 0
2020-21 (points x4)......tuna 3.5 (za simba na namungo)
2021-22 (points x5)....... (ndio tunasema simba aingie tu makundi tuvune point hapa), walau point 1 akishika nafasi ya 3 ambayo itatupa point 5, au hata akishika mkia 0.5 ambayo itatupa point 2.5 (i.e 0.5x5)

...........,.........
libya wakiingiza timu zao mbili makundi ya CAFCC, na zote zikavuka hatua ya makundi (au hata moja ikivuka watakua na uwezekano wa kutuzidi point)

Asante kwa ufafanuzi mkuu

Kwahyo mleta mada anaposema Tanzania tumeshapoteza nafasi NNE,,, je yupo sahihi!????
 
Simba anapambana anawapa nafasi ñne mijitu badala ikaze yanaenda kurukaruka tu pumbavu!!
 
Back
Top Bottom