dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
hayupo sahihi, maana hiyo itategemeana na matokeo ya timu za libya (hata za nchi zingine pia)Asante kwa ufafanuzi mkuu
Kwahyo mleta mada anaposema Tanzania tumeshapoteza nafasi NNE,,, je yupo sahihi!????