CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Ziko 12, Tanzania ishapoteza maana imeporomoka hadi nafasi ya 13, Libya katupiku labda Simba aingie makundini nchi gani nyingine zinapata nafasi 4 tofauti na Tz?
Nafasi yetu bado ipo nikuiombea tu Simba aingie tena makundi shirikisho.....ziko 12, tz ishapoteza maana imeporomoka hadi nafasi ya 13 ,libya katupiku labda simba aingie makundi
Nafasi 2 ndio tamu, 4 ni kiherehere tu hatuziwezi.Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira ya kichwa au wauzaji mechi watawaonea huruma mamilioni ya washabiki wa Simba.
Please maduka kuweni na huruma fikeni hata group stages basi, dah kakomboeni zile slots tena
View attachment 1986402
Hapana tunaziweza,ujue tunavyoshiriki sana hii michuano ndivyo tunavyozidi kupata uzoefu,naimani mwakani hata Mbeya city akishiriki hii michuano hatutakosea tena kujipanga kama nchinafasi 2 ndio tamu, 4 ni kiherehere tu hatuziwezi.
Kitu siwez fanya ni huu ujinga, mara 100 ikosekane timu hata moja ila sio ujinga wa kuombea hao vibwengoNafasi yetu bado ipo nikuiombea tu Simba aingie tena makundi shirikisho.....
Faida ya Timu 4 ni kuwa na uhakika wa Yanga kuwepo. Imagine shirikisho Yanga hachukui na Ligi kuu pia hachukui what happens?Ishu wala sio kuwa na timu nyingi , sasa hapa kwetu hapa tupewe timu 5, hizo tatu ni zipi??kama hizo nne tu ndio kina biashara hao, wanao leta mambo ya njaa njaaa kwenye michuano hiyo!!unaweza kuwa na timu 2 tu zinazojitambua na kufika mbali sana kuliko kuwa na mi timu mingi pasipo faida yoyote!!
mkuu inaonekana hujui namna wanahesabu point (ni five ranking), yani tz this season tumeingiza timu 4 kwakua tulikua na point 27.5, ila next season (ikitokea simba hajaenda makundi shirikisho) tutakua na point 20.5Libya wanapataje slots ya timu NNE ilhali timu yao pekee ya Al-Ittihad iliyokuwa ikishiriki hatua ya mtoano CAFcl imetolewa jana jumapili tar 24 kwa kufungwa na Esperence de Tunis..!??
Pia, sisi Tanzania tulikuwa na 27 accumulation points ilhali Libya walikuwa na 25 pts,,,, sasa ikiwa timu zetu na zao zimeondolewa hatua za mtoano CAF na hesabu ya points huanzia pale timu inapoingia makundi either Champions lg au Confederation,,, sasa hawa waLibya hizo slots za timu nne wame-gain kutokea wapi!????
Au mleta mada unataka kutuambia hizi nafasi zinatolewa kama zawadi tu na sio hesabu za points!????
Kwenye ligi usipokuwa wa pili utaendaje ?Nafasi mbili ndiyo size yetu. Hizo nne zinazalisha tu akina Mtibwa, Biashara na Namungo! na ambao huishia kufungiwa na kutozwa faini na CAF kwa kukosa nauli, kutokana na ukata wa vilabu vyao.
mkuu inaonekana hujui namna wanahesabu point (ni five ranking), yani tz this season tumeingiza timu 4 kwakua tulikua na point 27.5, ila next season (ikitokea simba hajaenda makundi shirikisho) tutakua na point 20.5
mwakani wata-calculate point hivi,
2018 (points x 1)......tuna 0.5 (zile za yanga)
2018-19 (points x2).....tuna 3 (zile za simba)
2019-20 (points x3).....tuna 0
2020-21 (points x4)......tuna 3.5 (za simba na namungo)
2021-22 (points x5)....... (ndio tunasema simba aingie tu makundi tuvune point hapa), walau point 1 akishika nafasi ya 3 ambayo itatupa point 5, au hata akishika mkia 0.5 ambayo itatupa point 2.5 (i.e 0.5x5)
...........,.........
libya wakiingiza timu zao mbili makundi ya CAFCC, na zote zikavuka hatua ya makundi (au hata moja ikivuka watakua na uwezekano wa kutuzidi point)
Kwahiyo Simba pia ilirukaruka ndo maana ikapigwa na kitu kizito juzi jumapili???Simba anapambana anawapa nafasi ñne mijitu badala ikaze yanaenda kurukaruka tu pumbavu!!