hj
hujanielewa kwamba nimeongea pumba au unahitaji ufafanuzi Zaidi:
kama unahitaji ufafanuzi:-
ni sawa tumefurahi kupata nafasi ya AFCON.
lkn isiwe nafasi hii na sisi tukaitumia vibaya kuweka wachezaji wazee wenye umri Zaidi ya miaka 17 (tukafoji ili tushinde)
lengo la mashindano ya under 17 na 21 ni kuzisaidia timu za taifa kuwekeza ktk vijana ambapo huku wakilelewa vema, huwa wanatengeneza timu bora kabisa za taifa!
kwa hiyo kwetu target kubwa isiwe kuchukua kombe kwa kuwapeleka kina mrisho ngasa (utani: kwa maana ya wachezaji wazuri lkn umri mkubwa) bali lengo letu liwe ni kupeleka vijana ili kuwajengea uwezo Zaidi hapo baadae!