RASMI Serengeti Boys Yarejeshwa AFCON

Hata kina Andrea Ayew walitokea kwenye timu ya vijana.Matumaini yangu wakifanya vizuri,utakuwa ndiyo mwanzo watanzania kukua kisoka.
kukua hadi tuache siasa chafu kwenye mpira na tff waache usimba/uyanga (wawe fair kuendesha mpira kwa kufuata kanuni na misingi sahii ya mpira
 
wawapeleke moi wakawapime kwenye mri na sisi yasijeyakatuuta
 
BIG UP SERENGETI BOYS, hii habari nimeitafuta kwenye site ya caf (cafonline.com) siioni sijui uhakika wa taarifa hizi uko wapi. ama kuna barua wamepokea tff?
 
Hawa madogo wakitunzwa na kulelewa vyema watatusaidia sana mbeleni, Magufuli atoe fungu madogo wahudumiwe vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…