PostGE2025 Rasmi serikali ya Tanzania inadai walichofanya BBC, CNN sio "HAKI" na wao wanataka haki sio amani

PostGE2025 Rasmi serikali ya Tanzania inadai walichofanya BBC, CNN sio "HAKI" na wao wanataka haki sio amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki.

ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye amani.
 
FB_IMG_17639764496963587.jpg
t
 
Sasa hiyo serikali inafanya haki kwa wananchi? Mbona wameua maelfu ya wananchi bila ya sababu ya msingi kisa kubaki madarakani.
 
CNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi
 
CNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi
Kasome tena haki za binadamu ni nini. Kutangaza habari za madudu yaliyotokea si ukiukwaji.
Kubalini mmevuliwa nguo
 
Back
Top Bottom