Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hivi ni vyombo makini vya habari na Msigwa anafahamu hilo kinaga ubaga.Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki.
ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye amani.
Exactly...Hivi ni vyombo makini vya habari na Msigwa anafahamu hilo kinaga ubaga.
Mkuu sio AMANI ya binadamu?CNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi
ndiyo ukome kumchungulia mama yako akiwa chooni,ushakua zezeta tayariCNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi
Kasome tena haki za binadamu ni nini. Kutangaza habari za madudu yaliyotokea si ukiukwaji.CNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi
NAKUCHORA TUCNN walichofanya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadam watoke hadharani kuomba radhi