OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
huyo mmoja lini sasa, december ndo dirisha lijaloHapa ni mwendo wa ngiri tu meno nje..! Wale wanaopayuka watulie bado mmoja yaani hatujamaliza
Karibu sana mshambuliaji wa magoli Dejan.
unamaanisha atapigwa misumali ?kama hapo simba kuna watu wanampenda wakamkinge haraka sana, yaani namuonea huruma in advance aiseee, kagere na uchawi wake alikuwa anaingia kageuza jezi wakati wa warm up, dah huyu watamfanya zezeta aisee
Miba za wakongwe akina Boko zinamsubili . amuulize mugalu 😂😂😂unamaanisha atapigwa misumali ?
Fraga aliprove wrong,ngoja tuoneKaribu sana DEJAN hapa Lunyasi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] nguvu 1.
Nje ya mada, binafsi sijawahi kuwaamini race nyeupe ktk league yetu. Wacha nisubiri kuona.
Hapa KAMATI ya usajili UMEKOSEA, dahhh hata kama wa Serbia ni wagumu lakini si kwa Ligi yetu, mazingira yetu, historia yetu na tamadhni zetu.
Hapa ni beautifully mistake.
Kusajili mshambuliaji ni kosa? Au umemaanisha KOSA kwa mlengo gani hapo.KOSA kubwa Sana hili. Uongozi was Simba unalifanya tena