Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache kabisa mambo yao yaani.. Klabu inatumia gharama kubwa kufikia malengo.Miba za wakongwe akina Boko zinamsubili . amuulize mugalu [emoji23][emoji23][emoji23]
majitu yanaloga sana yakipewa chance yanaharibu tu yanga wao walifanya vyema kuachana na yule mnyakyusa mfupiWaache kabisa mambo yao yaani.. Klabu inatumia gharama kubwa kufikia malengo.
Mkuu njaakalihatari Viongozi bado wanaendelea na mazungumzo na Klabu ya Vipershuyo mmoja lini sasa, december ndo dirisha lijalo
Nashukuruje kakamajitu yanaloga sana yakipewa chance yanaharibu tu yanga wao walifanya vyema kuachana na yule mnyakyusa mfupi
Msikie mwenyeweYanga hayakuwa malengo yao kuishia kwa Aziz Ki, walikuwa na mpango madhubuti wa kusajili zaidi ya pale
Azizi Ki ni mtu fulani selfish sana yani robo tatu ya bajeti yote kachukua yeye na ile iliyotengwa kwa ajili ya kambi nayo kaipitia
Hiyo tisa, kumi ni kwamba jana hata la offside hatujaliona
Hapa Aziz Ki kaingiaje sasa?Yanga hayakuwa malengo yao kuishia kwa Aziz Ki, walikuwa na mpango madhubuti wa kusajili zaidi ya pale
Azizi Ki ni mtu fulani selfish sana yani robo tatu ya bajeti yote kachukua yeye na ile iliyotengwa kwa ajili ya kambi nayo kaipitia
Hiyo tisa, kumi ni kwamba jana hata la offside hatujaliona
Tatizo viwanja akienda kucheza mtwara au singida una mkataa hata chama akicheza tofauti na uwanja wa taifa mara nyingi hana maajabu ila huyo ni wa mda mfupi manzoki akimaliza mkataba wake kule atakuja kuungana nae.Karibu sana DEJAN hapa Lunyasi.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] nguvu 1.
Nje ya mada, binafsi sijawahi kuwaamini race nyeupe ktk league yetu. Wacha nisubiri kuona.
Yule hana tofauti na manara kwanza anajifanya kila kitu cha simba anajua yeye leo kaumbuka alisema jezi zimezuia bandarini mara zimerudishwa ila ukiangalia ile video ni za kipindi kile simba wapo pre season ismailia.Popoma mwandamizi anasemaje yeye kwani, maana alirukwa kichaa tangu Jana alfajiri alipojua huyu mzungu anaenda sajiliwa na Mganda Bado
Huyo sio permanent ni muda mfupi atakuja manzoki akimaliza mkataba wake na vipers dirisha dogo.Na hii ni team yake ya 16 kucheza
Hapa tumepigwa [emoji23]
Fraga mpemba yuleFraga aliprove wrong,ngoja tuone
Amepeleka matatizo huko Singida Big Stars, wakae chonjo yaani..!majitu yanaloga sana yakipewa chance yanaharibu tu yanga wao walifanya vyema kuachana na yule mnyakyusa mfupi
Kwamba wa muda mfupi ndio unachukua garasa?Huyo sio permanent ni muda mfupi atakuja manzoki akimaliza mkataba wake na vipers dirisha dogo.