ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ni kawaida yenu kupigwa na vitu vizito pande zoteNa hii ni team yake ya 16 kucheza
Hapa tumepigwa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida yenu kupigwa na vitu vizito pande zoteNa hii ni team yake ya 16 kucheza
Hapa tumepigwa 😂
🤣🤣🤣🤣🤓🤓 acha kwanza nichekeee 😂😂😂 tunamkaribisha kwenye soka la Tanzania🤣🤣🤣Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.
"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Habari ya Simba anayo,Sakho Banda na Kapombe walipiga 3
Kweli mbuzi sio mpaka ziwe na mapembe kuna binadamu ambao ni zaidi ya mbuzi eti,,,Kama ujui alichokiongea uwalaumu wazazi wako walioshindwa kukupeleka shule tahaira wewe
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.
"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Mkuu upo nje ya mdaYanga hayakuwa malengo yao kuishia kwa Aziz Ki, walikuwa na mpango madhubuti wa kusajili zaidi ya pale
Azizi Ki ni mtu fulani selfish sana yani robo tatu ya bajeti yote kachukua yeye na ile iliyotengwa kwa ajili ya kambi nayo kaipitia
Hiyo tisa, kumi ni kwamba jana hata la offside hatujaliona
Huyu jamaa ana kifafa cha mimbaHapa Aziz Ki kaingiaje sasa?
[emoji2][emoji2][emoji2] umenifanya nicheke leo.Tunasajili mtu asiyejua hata neno "tawile" linatamkwaje, ngoja tuone.
Unajisahaulisha kuwa Ulaya ligi zimeanza na timu bado zinasajili?huyo mmoja lini sasa, december ndo dirisha lijalo
Hata kama atakuwa akitumika kwa Mkapa na kimataifa tu, bado sio hesabu mbaya.
Vitu anavyo, atatumika zaidi kimataifa ila huko Namfua awaachie kina Kiyombo
Unamlisha maneno?
plus baadhi ya viwanja vya mikoani sio vibaya sana.Hata kama atakuwa akitumika kwa Mkapa na kimataifa tu, bado sio hesabu mbaya.
Mshambuliaji wa Magoli ameanza kazi, Utopolo huko mliko kitu kimeanza kugonga ile mbaya yaani..!Kweli huku tumeporomoka wana lunyasi,
Hapa hakuna mchezaji
Kwani Ntibanzokiza ilikuwaje..!? Hamkufikia makubaliano maalumu..!Baada ya miezi kadhaa utasikia Makolo wamefikia makubaliano ya kila upande kisha huyu mchezaji anaagwa na kutakiwa kila lakheri aendapo