Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.

"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
🤣🤣🤣🤣🤓🤓 acha kwanza nichekeee 😂😂😂 tunamkaribisha kwenye soka la Tanzania🤣🤣🤣
 
Vitu anavyo, atatumika zaidi kimataifa ila huko Namfua awaachie kina Kiyombo
 
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.

"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Screenshot_20220807-133315.jpg
 
Yanga hayakuwa malengo yao kuishia kwa Aziz Ki, walikuwa na mpango madhubuti wa kusajili zaidi ya pale

Azizi Ki ni mtu fulani selfish sana yani robo tatu ya bajeti yote kachukua yeye na ile iliyotengwa kwa ajili ya kambi nayo kaipitia

Hiyo tisa, kumi ni kwamba jana hata la offside hatujaliona
Mkuu upo nje ya mda
 
Baada ya miezi kadhaa utasikia Makolo wamefikia makubaliano ya kila upande kisha huyu mchezaji anaagwa na kutakiwa kila lakheri aendapo
 
Kwani Ntibanzokiza ilikuwaje..!? Hamkufikia makubaliano maalumu..!
 
Kocha kamleta mtotk wa dada yake aliyekuwa jobless uko Serbia alafu anasema mchezaji
 
Back
Top Bottom