Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Nyuzi zako zote unazoanzishaga hazinaga mafanikio na mwisho wa siku unaumia wewe,ndo maana jamaa kakuita KUBWA J.
Mimi sio kocha wala Mungu anayepanga nini kiwe wapi wakati gani. Kubwa jinga mama yako anaweza kupanga hiyo?
 
Huyo sio permanent ni muda mfupi atakuja manzoki akimaliza mkataba wake na vipers dirisha dogo.
[emoji23][emoji23]
1662192007967.jpg
 
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.

"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.

Leo hakuna kumpumzika. Overdose mwanzo mwisho

View attachment 2317622
View attachment 2317621
View attachment 2317623
View attachment 2317624
Mlete mzungu! Mlete mzungu 😁😁😁
 
Back
Top Bottom