Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Hao mabush star hawana ubavu huoMchukueni na Mayele wa Utopoloni pale ndio tujue mko siriaz na ligi
Mchukueni na Mayele wa Utopoloni pale ndio tujue mko siriaz na ligi
Hao mabush star hawana ubavu huo
Lini mwatanga bench lenu la ufundiTunao uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote aliye sokoni, mzawa au mgeni, kama tu benchi letu la ufundi litakuwa na uhitaji nae.
Hao wachezaji ndio wanaowafaa, sio wale wazuri wazuri ambao mnawasajili halafu wanavunja mkataba kabla hawajatumikiaWatu wa Soka,
Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni
BIG STAR.
Mtacheza ligi kuu au mpo Championship?Tunao uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote aliye sokoni, mzawa au mgeni, kama tu benchi letu la ufundi litakuwa na uhitaji nae.
Mabush [emoji93]s uwezo wenu ni kusajili vimeo vilivyotupiwa viragoTunao uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote aliye sokoni, mzawa au mgeni, kama tu benchi letu la ufundi litakuwa na uhitaji nae.
Habib Kyombo ilikuwaje mkashindwa kulinda mkataba wake?Tunao uwezo wa kumsajili mchezaji yoyote aliye sokoni, mzawa au mgeni, kama tu benchi letu la ufundi litakuwa na uhitaji nae.
Lini mwatanga bench lenu la ufundi
Hao wachezaji ndio wanaowafaa, sio wale wazuri wazuri ambao mnawasajili halafu wanavunja mkataba kabla hawajatumikia
Mtacheza ligi kuu au mpo Championship?
Mabush [emoji93]s uwezo wenu ni kusajili vimeo vilivyotupiwa virago
Yassin wa Yanga vp? chukueni ni mzuri
Habib Kyombo ilikuwaje mkashindwa kulinda mkataba wake?
Sio kweli.Tetesi za chini zinasema pre season mnaenda kuweka kambi marekani. Je ni kweli haya?