Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

Huyo mtu uliyemuelimusha hapa sijui kama ataelewa.....ana tabu kwelikweli
 
Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA.
Wazungu wenyewe wana msemo "barking dog never bit" ukiona russia wanajisemea ovyo namna hiyo jua ni debe tupu, na toka vita inaanza russia walianza kusogeza vinu vya nuclear sijuwi lile zoezi liliishia wapi, urusi amepigana miezi 7 tu anahitaji msaada ama kukodi silaha toka Iran hili ni jambo la aibu sana kwa huyu superpower

Tahadhari zote alizotoa zimeshavunjwa na hakuna alichofanya hadi sasa, alisema ukijaribu kushambuli majimbo aliyopiga kura umeshambulia urusi na atatumia nuclear kuyalinda yale majimbo sasa hichi kinachotokea ni nini?

Urusi wamelazimika kuhamisha raia wao na kuuacha mji wa Kharson kwa kushindwa mashambulizi lakini kumbuka Lyman pia ipo mikononi mwa Ukrain, hivi ni lini putin ataongea maneno na dunia kuona yale maneno yake anayafanyia kazi??

Hem leteni majibu.
 
Hiyo inaitwa false flag operation hamna kitu hapo yeye mwenyewe anafahamu balaa lake
 
This is the tradition between the two superpowers tangu enzi za Soviet Union...nchi moja ikitaka kufanya mazoezi ya kijeshi iwe ni kwa conventional au nuclear weapons ni 'lazima' amuarifu mwenzake...ni utamaduni uliopp
 

Superpower gani tena?Huyuhuyu Russia anayehangaika na Ukraine Kwa miezi 8? Kama ni hivyo basi atakuwa Superpower Uchwara!!Angekuwa wa ukweli angefanya Kama alivyosema kuwa masaa 72 atakuwa ameiteka Ukraine yote nashangaa mpaka sasa hivi bado anahangaika na kulalamika ovyoovyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…