Rasmi TFF na bodi ya ligi kila mtu afanye majukumu yake Yanga imewanyoosha

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Rasmi

Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi

Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia kanuni

-rais wa TFF

Yanga waliqashauri hili ukaleta mzaa mh raisi tena ukaitisha na press anaetakka aje uwanjan asietaka tutatoa pt 3 kwa mshindi

Hivi ukujua yanga wamekujaza kwenye mfumo mh raisi na sasa umefanya kile walitaka

Ila mh Karia kwa hili la ooh tusitiane tena vidoke machoni ooh ati karia anapendelea timu fulan ooh...kwani siri presidaa ulitaka kuwabeba simba

Wakakushtukia

Hakuna alietaka kukutia kidole cha macho wewe tu hukutaka kutumia hekima

Lakini leo umekubali sasa rff tuko kama tff jaman yale makelele yaishe

Ahsanten

Wajumbe na pongezi kwako mh presidaa kwa kuchaguliwa

🔥
 
RAIS ANA HASIRA HUY O

YAAN UKIMSIKIA REDION KAMA KAPEWA ONYO AISEE KA KANDO NA KODI YA LIGI KASHFA ZAKO ZINATOSHA

HAHAHA KAJA NA MSAMIATI

""MLIKUWA MNAMTIA KIDOLE CHA MACHOO -'SASA MUACHEEE HAYUKO UKO TENA

CCM
OYEEE
 
Rasmi

Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi

Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia kanuni

-rais wa TFF

Yanga waliqashauri hili ukaleta mzaa mh raisi tena ukaitisha na press anaetakka aje uwanjan asietaka tutatoa pt 3 kwa mshindi

Hivi ukujua yanga wamekujaza kwenye mfumo mh raisi na sasa umefanya kile walitaka

Ila mh Karia kwa hili la ooh tusitiane tena vidoke machoni ooh ati karia anapendelea timu fulan ooh...kwani siri presidaa ulitaka kuwabeba simba

Wakakushtukia

Hakuna alietaka kukutia kidole cha macho wewe tu hukutaka kutumia hekima

Lakini leo umekubali sasa rff tuko kama tff jaman yale makelele yaishe

Ahsanten

Wajumbe na pongezi kwako mh presidaa kwa kuchaguliwa

[emoji91]
Wala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFA
 
yanga anadhaminiwa na yeye kumbe anadhamini watu wengine na TFF iko kimya
 
Wala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFA
Mmeshangia chama kwanzaa
 
Mkuu Pwilo ukweli usemwe Kipara aliharibu kabisa ligi kwa kuruhusu marefa kuibeba Simba waziwazi hadi kuleta kichefuchefu kuangalia mechi za simba badala yake utopolo tukawa tunaangalia matokeo na kipyenga cha mwisho tu, mechi za makolo hatuangalii. Athari zake ni timu zilizoonewa kushuka daraja, wadhamini kuharibu bizness zao na marefa wetu wenye njaa kali na kukosa uadilifu mbele ya camera kukosa nafasi na ulaji huko CAF na mwishowe simba yake mdebwedo haikubeba kombe alilolipigania liende msimbazi.

Ona sasa kasababisha Yanga kusajili vyuma na kocha kijana ili kuiburuza tena mbumbumbu fc kwa msimu mwingine!
 
Hakuna aliyetaka kumtia kidole Cha macho Wala cha sehemu nyingine yeyote kwenye mwili wake... alijichanganya tu yeye mwenyewe na bodi yake ya ligi
 
Sio kila sehemu ni ushabiki sometimes weka ushabiki pembeni let's discuss the fact here yanga ni mnufaika mkubwa wa karia kuliko simba kipindi cha nabi mbona mlibebwa mpaka ile dhulma mliwafanyia AZAM au ilikuwa huangalii mechi na ule msimu ilikuwa kila team ikicheza na simba inaahidiwa hela na wakuu wa mikoa lakini simba walikaa kimya kiufupi yanga wanapenda kulalamika.
 
simba wanajua sheria ndo maana vikombe kila mara
We unaangalia vikombe sio kuna tofauti kati ya success na achievement siku ukijua kutofautisha hivyo vitu utajua simba wanawafanya yanga wajinga kwa kivuli cha derby na kuchukua NBC premier league kaangalie bingwa wa NBC premier league anavunja kiasi gani na Caf confederation cup finalist anapata kiasi gani au hatua za mtoano Caf champions league wanalipa bei gani
 
mkuu kwamba iyo cuf finalist yanga ajawahi kufika
 
Hakuna aliyetaka kumtia kidole Cha macho Wala cha sehemu nyingine yeyote kwenye mwili wake... alijichanganya tu yeye mwenyewe na bodi yake ya ligi
Anasifa kuu 4
1. Short tempered
2. Tungo tata
3. Kuchelewa kutoa maamuzi kuchelewa kutoa maamuzi husababisha yasiyotarajiwa, (uncertainty)
4. Lack of crisis management skills
 
mkuu kwamba iyo cuf finalist yanga ajawahi kufika
Ndio maana nimekwambia kuna tofauti kati ya success na achievement na tofauti ipo kwenye consistent na inconsistency kuna mmoja Caf champions league ni kama nyumbani mwingine tia maji tia maji tu.
 
Bodi mpya ya Ligi ili kuanza vizuri uendeshaji inatakiwa iawaondoe wale marefa wote waliovurunda kwa makusudi msimu uliopita.

Wasipewe ata mechi za kirafiki kwa miezi sita ili kutengeneza nidhamu ya soka letu.

Bodi itafute wadhamini kwaajili ya marefa na wawawekee maslahi mazuri na walipwe kwa wakati.

Mwenye timu imara ashinde uwanjani na si kwa mipango mipango.
 
Ndio maana nimekwambia kuna tofauti kati ya success na achievement na tofauti ipo kwenye consistent na inconsistency kuna mmoja Caf champions league ni kama nyumbani mwingine tia maji tia maji tu.
kama nyumbani unaishia njiani miaka 5
 
Back
Top Bottom