Unadhani raisi huko duniani wale PSG na Manchester city licha ya mahela waliyo nayo na wachezaji wazuri lakini bado iliwachukua miaka na miaka kushinda angalau taji moja la UEFA champions league PYRAMIDS wamewekeza pesa za kutosha walishawahi kumleta mpaka dida wa Brazil kuwa kocha wa makipa pale PYRAMIDS ila ndio wamechukua mara moja tena kwa taabu sisi vilabu vyetu na wachezaji wa mkopo tunasindikiza tu things are not easy.kama nyumbani unaishia njiani miaka 5
kumbe wajua sio rahisi hivyo ila unataka yanga apenye kirahisiUnadhani raisi huko duniani wale PSG na Manchester city licha ya mahela waliyo nayo na wachezaji wazuri lakini bado iliwachukua miaka na miaka kushinda angalau taji moja la UEFA champions league PYRAMIDS wamewekeza pesa za kutosha walishawahi kumleta mpaka dida wa Brazil kuwa kocha wa makipa pale PYRAMIDS ila ndio wamechukua mara moja tena kwa taabu sisi vilabu vyetu na wachezaji wa mkopo tunasindikiza tu things are not easy.
Yaani kama ni jeshini yanga ni coplo simba ni staff Sargentkumbe wajua sio rahisi hivyo ila unataka yanga apenye kirahisi
coplo wakikutana ana mtwanga sargent kama kurutaYaani kama ni jeshini yanga ni coplo simba ni staff Sargent