Wala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFARasmi
Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi
Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia kanuni
-rais wa TFF
Yanga waliqashauri hili ukaleta mzaa mh raisi tena ukaitisha na press anaetakka aje uwanjan asietaka tutatoa pt 3 kwa mshindi
Hivi ukujua yanga wamekujaza kwenye mfumo mh raisi na sasa umefanya kile walitaka
Ila mh Karia kwa hili la ooh tusitiane tena vidoke machoni ooh ati karia anapendelea timu fulan ooh...kwani siri presidaa ulitaka kuwabeba simba
Wakakushtukia
Hakuna alietaka kukutia kidole cha macho wewe tu hukutaka kutumia hekima
Lakini leo umekubali sasa rff tuko kama tff jaman yale makelele yaishe
Ahsanten
Wajumbe na pongezi kwako mh presidaa kwa kuchaguliwa
[emoji91]
yanga anadhaminiwa na yeye kumbe anadhamini watu wengine na TFF iko kimyaWala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFA
Mmeshangia chama kwanzaaWala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFA
Mkuu Pwilo ukweli usemwe Kipara aliharibu kabisa ligi kwa kuruhusu marefa kuibeba Simba waziwazi hadi kuleta kichefuchefu kuangalia mechi za simba badala yake utopolo tukawa tunaangalia matokeo na kipyenga cha mwisho tu, mechi za makolo hatuangalii. Athari zake ni timu zilizoonewa kushuka daraja, wadhamini kuharibu bizness zao na marefa wetu wenye njaa kali na kukosa uadilifu mbele ya camera kukosa nafasi na ulaji huko CAF na mwishowe simba yake mdebwedo haikubeba kombe alilolipigania liende msimbazi.Wala hujui ulichoandika hyo kauli imebeba ujumbe mzito na maumivu makubwa sana kwa karia aliwasaidia ila mwisho wa siku anaonekana mbaya wakati amewaachia yanga wadhamini team nyingine na ubingwa mfululizo anachukua ila bado mnampa lawama sasa subiria ubaya ubwela sijui mtaenda kushtaki kwa raisi au. FIFA
Sio kila sehemu ni ushabiki sometimes weka ushabiki pembeni let's discuss the fact here yanga ni mnufaika mkubwa wa karia kuliko simba kipindi cha nabi mbona mlibebwa mpaka ile dhulma mliwafanyia AZAM au ilikuwa huangalii mechi na ule msimu ilikuwa kila team ikicheza na simba inaahidiwa hela na wakuu wa mikoa lakini simba walikaa kimya kiufupi yanga wanapenda kulalamika.Mkuu Pwilo ukweli usemwe Kipara aliharibu kabisa ligi kwa kuruhusu marefa kuibeba Simba waziwazi hadi kuleta kichefuchefu kuangalia mechi za simba badala yake utopolo tukawa tunaangalia matokeo na kipyenga cha mwisho tu, mechi za makolo hatuangalii. Athari zake ni timu zilizoonewa kushuka daraja, wadhamini kuharibu bizness zao na marefa wetu wenye njaa kali na kukosa uadilifu mbele ya camera kukosa nafasi na ulaji huko CAF na mwishowe simba yake mdebwedo haikubeba kombe alilolipigania liende msimbazi.
Ona sasa kasababisha Yanga kusajili vyuma na kocha kijana ili kuiburuza tena mbumbumbu fc kwa msimu mwingine!
Wanaochangia chama ni wajingaMmeshangia chama kwanzaa
Yanga suala la sheria limewapitia kushoto.yanga anadhaminiwa na yeye kumbe anadhamini watu wengine na TFF iko kimya
simba wanajua sheria ndo maana vikombe kila maraYanga suala la sheria limewapitia kushoto.
We unaangalia vikombe sio kuna tofauti kati ya success na achievement siku ukijua kutofautisha hivyo vitu utajua simba wanawafanya yanga wajinga kwa kivuli cha derby na kuchukua NBC premier league kaangalie bingwa wa NBC premier league anavunja kiasi gani na Caf confederation cup finalist anapata kiasi gani au hatua za mtoano Caf champions league wanalipa bei ganisimba wanajua sheria ndo maana vikombe kila mara
mkuu kwamba iyo cuf finalist yanga ajawahi kufikaWe unaangalia vikombe sio kuna tofauti kati ya success na achievement siku ukijua kutofautisha hivyo vitu utajua simba wanawafanya yanga wajinga kwa kivuli cha derby na kuchukua NBC premier league kaangalie bingwa wa NBC premier league anavunja kiasi gani na Caf confederation cup finalist anapata kiasi gani au hatua za mtoano Caf champions league wanalipa bei gani
Anasifa kuu 4Hakuna aliyetaka kumtia kidole Cha macho Wala cha sehemu nyingine yeyote kwenye mwili wake... alijichanganya tu yeye mwenyewe na bodi yake ya ligi
Ndio maana nimekwambia kuna tofauti kati ya success na achievement na tofauti ipo kwenye consistent na inconsistency kuna mmoja Caf champions league ni kama nyumbani mwingine tia maji tia maji tu.mkuu kwamba iyo cuf finalist yanga ajawahi kufika
kama nyumbani unaishia njiani miaka 5Ndio maana nimekwambia kuna tofauti kati ya success na achievement na tofauti ipo kwenye consistent na inconsistency kuna mmoja Caf champions league ni kama nyumbani mwingine tia maji tia maji tu.