castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
Bado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sanaMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwanza TAKUKURU ingekuwa makini ingechunguza mikataba yote ya TFF siyo na GSM tu hadi na TBC , haiwezekani TBC wamechukua mkataba wa kurusha matangazo yote ya radio halafu hawatangazaji mechi zote huku wamechukua hati milikiBado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Waongeze hizo 300 milioni wampe Simba labda watawaweka nembo yao kwenye boxer [emoji16]
una utoto mwingi.Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Basi simba wasishiriki waendelee na ujenzi wa uwanja wao wa kumfariji Babra.Bado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sana
Nendeni kachukueni Ela ya mafungu ukoBasi simba wasishiriki waendelee na ujenzi wa uwanja wao wa kumfariji Babra.
Leo mmesingizia mna covid, mechi ijayo sijui mtatunga nini 😂Nendeni kachukueni Ela ya mafungu uko
Ingefaa ungeandika mdhamini mkuu!Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Kwani hata huko GSM ni nani mwenye malalamiko ukitoa Kolo na vibaraka wake!! Yaani leo hii mtu anataka kuaminisha watu kwamba cheo cha MJUMBE wa Kamati ya Mashindano (Hersi Saidi) ana maslahi zaidi kwa klabu (ya Yanga) lakini Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu (Azam FC) hana maslahi kwa Azam FC?!Nadhani KCB hawakuegemea upande wowote, hakukuwa na mgongano wa maslahi baina ya timu na timu au/mwekezaji mmoja na mwingine.
We hujiulizi kwanini Azam TV anatoa mpunga mkubwa tu na Azam Fc inashiriki League hii hii lakini hapigiwi kelele!?
Unakumbuka Patrice Motsepe owner na Aliyekuwa Rais wa Mamelodi Sundown alipotaka kugombea U-Rais wa CAF aliambiwa kitu gani!?
Akili kumkichwa.
Hiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ajabu nin bingwa wa Vodacom premier alikua anapewa million 80 kuwa mfuatiliaji wa vituMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe na tumu yako ya Simba msiojielewa haiwezekana timu 15 kati ya timu 16 zikubali kasoro timu moja tu ya Simba.Hapo machezi Simba wasiojua umuhimu na faida ya Udhamini wa GSM.Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha utahira hamkumbuki mlivyowagomeaga azam kipindi Manji ndo Mume wenuChizi wewe na tumu yako ya Simba msiojielewa haiwezekana timu 15 kati ya timu 16 zikubali kasoro timu moja tu ya Simba.Hapo machezi Simba wasiojua umuhimu na faida ya Udhamini wa GSM.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Iyo nembo zitavaa timu zisizojielewaMbona leo Azam fc hawajavaa nembo ya GSM inakuwaje hapo
Chako kimejaa makamasiKichwa kimejaa mavi
Makolo viongozi wao wote walipaswa waongoze marede but sio soka,yule mwenyekiti wao na ceo wa kolo copyright na mwijakuSimba imekuwa timu ya mipasho labda sababu ya CEO wetu Barbara!
Taarab FC, Mipasho FC, Simba Queens FC, Lialia FC
Kanikomeshea hayo ma uto yameishia kupga kelele tu kama yamebanwa ko.....danBarbara ni mzungu haswa