castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
Bado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sanaMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]