luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wakivaa hi GSM , nitaanza kutembelea mikono sio miguu tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?
GSM ametoa bilioni 2 tofaut ya milion 300 ya mdhamin mkuu
KCB ilitoa hela ndogo sana usifananishe na GSM.
SIMBA watavaa tu hiyo logo ya GSM ni suala la muda tu
Kipindi hiki tulikuwa uchumi wa chini, sasa tupo uchumi wa kati [emoji2][emoji2][emoji2]Ajabu nin bingwa wa Vodacom premier alikua anapewa million 80 kuwa mfuatiliaji wa vitu
Hizi timu 14 hazina ndito ya kuwa bingwa na ya 15 yanga wamehaidiwa Ubingwa na GSM kwa gharama yoyote ile ,wakishindwa ,waulizwe wao [emoji28][emoji28][emoji28]Chizi wewe na tumu yako ya Simba msiojielewa haiwezekana timu 15 kati ya timu 16 zikubali kasoro timu moja tu ya Simba.Hapo machezi Simba wasiojua umuhimu na faida ya Udhamini wa GSM.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ahaaaa!!hayo ni mambo ya mikataba, kwahiyo kama KCB, hawakuweka nembo yao kwenye jezi basi, ndio GSM, nao hawaruhusiwi kuweka?mdhamini anatoa mashariti yake kulingana na kiwango cha pesa anachokiweka, kwanza mbona hadi sasa hata huyo simba hajahoji mshindi wa kwanza atapata kiasi gani toka kwa mdhamini mkuu(NBC), hadi sasa hakuna tiimu inayofahamu!!Hii ligi nayo kachumbali zimekuwa nyingi,mbona waliokuwa wakitoa pesa misimu kadhaa kama KCB walikuwa hawapati mambo kama haya au mikataba yao inakuwa na melezo tofauti kulingana na dau?
kusipokuwa na mabango tutajua leo Simba wanacheza.. Ni sawa tu na kuitangaza GSMSimba hawavai mpaka maswali yao yajibiwe, mambo ya kiswahili kwenye mpira wetu yakomeshwe, TFF na bodi ya ligi wasitumie njaa ya vilabu vyetu kama sababu ya kuingia mikataba isiyofuata sheria na kanuni.
Hapo inategemea na aina ya mdhamini, kwani mdhamini anayeingia mkataba na timu kabla hajaanza kuidhamini timu lazima aidhinishwe na tff, mfano leo ije kampuni ya kutengeneza vifaa vya aluminium idhamini ligi, lazima huyo aluminium wa simba atoke tu!!muulize afrika lion na tigo, ilikuwaje wakati wa vodacom premier ligue.Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani hujamuelewa huyo Mkuu, jamaa anaongelea mkata alioingia Simba na Emirates Aluminum una thamani ya 300M ambapo hao jamaa ndio watakaa bega la kushoto, ilhali udhamini wa GSM wao pesa yao ni 62M kukaa hilo bega la kushotoHiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?
GSM ametoa bilioni 2 tofaut ya milion 300 ya mdhamin mkuu
KCB ilitoa hela ndogo sana usifananishe na GSM.
SIMBA watavaa tu hiyo logo ya GSM ni suala la muda tu
Tupe na hesabu za NBCMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww bwege hebu rudia huu uchafu wako. SIMBA NI KUBWA KULIKO HIVYO VIJILABU 15.Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Wewe mama babra ndivyo alivyokubrainwash eti makolo ni kubwa,wewe kweli fala!Ww bwege hebu rudia huu uchafu wako. SIMBA NI KUBWA KULIKO HIVYO VIJILABU 15.
wameitikia kwa kichwa tu ila sijaona hata timu moja ikivaa nembo ya GSMKwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM .
Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango ya GSM hayatatikiwa kwenye mechi za Simba.