Rasmi timu 15 ligi kuu kuvaa nembo ya GSM

Rasmi timu 15 ligi kuu kuvaa nembo ya GSM

Na kanuni, inamtambua mzamini mkuu tu ndiye anahaki ya kuvaliwa nembo yake

GSM kaingizwa uchochoroni na wajanja ila kwa izo timu 15 zikimvaa inatosha,bega la Simba sio cheap

TFF wanataka jezi za vilabu zijae mabango Kama zile timu za Sweden
 
Na kanuni, inamtambua mzamini mkuu tu ndiye anahaki ya kuvaliwa nembo yake

GSM kaingizwa uchochoroni na wajanja ila kwa izo timu 15 zikimvaa inatosha,bega la Simba sio cheap
 
Hiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?

GSM ametoa bilioni 2 tofaut ya milion 300 ya mdhamin mkuu

KCB ilitoa hela ndogo sana usifananishe na GSM.

SIMBA watavaa tu hiyo logo ya GSM ni suala la muda tu
Wakivaa hi GSM , nitaanza kutembelea mikono sio miguu tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chizi wewe na tumu yako ya Simba msiojielewa haiwezekana timu 15 kati ya timu 16 zikubali kasoro timu moja tu ya Simba.Hapo machezi Simba wasiojua umuhimu na faida ya Udhamini wa GSM.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hizi timu 14 hazina ndito ya kuwa bingwa na ya 15 yanga wamehaidiwa Ubingwa na GSM kwa gharama yoyote ile ,wakishindwa ,waulizwe wao [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hii ligi nayo kachumbali zimekuwa nyingi,mbona waliokuwa wakitoa pesa misimu kadhaa kama KCB walikuwa hawapati mambo kama haya au mikataba yao inakuwa na melezo tofauti kulingana na dau?
Ahaaaa!!hayo ni mambo ya mikataba, kwahiyo kama KCB, hawakuweka nembo yao kwenye jezi basi, ndio GSM, nao hawaruhusiwi kuweka?mdhamini anatoa mashariti yake kulingana na kiwango cha pesa anachokiweka, kwanza mbona hadi sasa hata huyo simba hajahoji mshindi wa kwanza atapata kiasi gani toka kwa mdhamini mkuu(NBC), hadi sasa hakuna tiimu inayofahamu!!
 
Simba hawavai mpaka maswali yao yajibiwe, mambo ya kiswahili kwenye mpira wetu yakomeshwe, TFF na bodi ya ligi wasitumie njaa ya vilabu vyetu kama sababu ya kuingia mikataba isiyofuata sheria na kanuni.
kusipokuwa na mabango tutajua leo Simba wanacheza.. Ni sawa tu na kuitangaza GSM
 
Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo inategemea na aina ya mdhamini, kwani mdhamini anayeingia mkataba na timu kabla hajaanza kuidhamini timu lazima aidhinishwe na tff, mfano leo ije kampuni ya kutengeneza vifaa vya aluminium idhamini ligi, lazima huyo aluminium wa simba atoke tu!!muulize afrika lion na tigo, ilikuwaje wakati wa vodacom premier ligue.
 
Hiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?

GSM ametoa bilioni 2 tofaut ya milion 300 ya mdhamin mkuu

KCB ilitoa hela ndogo sana usifananishe na GSM.

SIMBA watavaa tu hiyo logo ya GSM ni suala la muda tu
Nadhani hujamuelewa huyo Mkuu, jamaa anaongelea mkata alioingia Simba na Emirates Aluminum una thamani ya 300M ambapo hao jamaa ndio watakaa bega la kushoto, ilhali udhamini wa GSM wao pesa yao ni 62M kukaa hilo bega la kushoto

Na pia kwenye udhamini wa NBC na GSM napo unakosea sijui kama umepiga hesabu zako vizuri hadi useme kuna tofauti ya 300M kati ya NBC na GSM

NBC anatoa 2.5b per season na GSM anatoa 2.1b per two seasons, ambayo anaigawa kwa huu msimu anatoa 1b na next season anamalizia 1.1b, angalia source zako vizuri ujiridhishe
 
Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupe na hesabu za NBC
 
Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Ww bwege hebu rudia huu uchafu wako. SIMBA NI KUBWA KULIKO HIVYO VIJILABU 15.
 
Sisi tunasema timu nyingine wavae hata chupy za GSM.. lakini sisi tunajitmbua hatuvai over!
 
Kwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM .

Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango ya GSM hayatatikiwa kwenye mechi za Simba.
wameitikia kwa kichwa tu ila sijaona hata timu moja ikivaa nembo ya GSM
 
Back
Top Bottom