Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo mkuu chelsea si imezaliwa 2004, au ulitaka aseme ilizaliwa 1900?.Yule Refa alikuwa ni shabiki wa man u na alishawekaga wazi enzi zake kuwa Chelsea ni timu iliyozaliwa 2004( imagine pale ilikuwa 2009) hivyo mechi yeyote ikichezwa vs Chelsea basi Kuna uwezekano Chelsea ikapoteza iyo mechi. Aliitwa Howard Web[emoji4] huyu jamaa mashabiki wa Chelsea hatutomsahau aise.
Amewasilisha mwaka huu hilo pendekezo kwamba offside iwe ni pale sehemu ya mwili iliyozidi inayoweza kufunga goli, mfano kichwa au miguu.Tukumbushe wenger alisemaje
Sawa.Amewasilisha mwaka huu hilo pendekezo kwamba offside iwe ni pale sehemu ya mwili iliyozidi inayoweza kufunga goli, mfano kichwa au miguu.
Hakuwa Web mkuu? Basi Kama siyo itakuwa nimechanganya.Hapana yule anaitwa Ovrebo
Chelsea imezaliwa 1905 mkuu.Kwani uongo mkuu chelsea si imezaliwa 2004, au ulitaka aseme ilizaliwa 1900?.
labda alimaanisha kuzaliwa kama elite club mkuu, maana kuanzia 2004 chelsea imekuwa club kubwa na imefanya vizuri tofauti na miaka ya nyuma ya 2004Chelsea imezaliwa 1905 mkuu.
Wakitoa hii mabeki watapata tabu sanaWaondoe na off side
Ni kweli kabisa mkuu ..lakini kabla ya hapo Chelsea tulifanya makubwa tu sema 2004 kuendelea ndo mafanikio yaliongezeka zaidi.labda alimaanisha kuzaliwa kama elite club mkuu, maana kuanzia 2004 chelsea imekuwa club kubwa na imefanya vizuri tofauti na miaka ya nyuma ya 2004
juzi kaizer chief kashinda moroco, hakuna cha ubabe ni kujipanga tuna Mlleta Mada denooJ utuwekee hiyo Link wengine hatuamini mpaka tupapase wenyewe ipo siku mtayaondoa na hayo ma miligoti kkuwsiwe na magoli hata ya ugenini. Mm naona bora yaendelee Vilabu km vya Misri ni wababe sana mkienda malizia kwao.
Shida ipo kwenye kutafsiri hiyo sheria hasa off_side trick marefa wengi inawasumbua ndo maaana wakaleta refa aa pili ambaye ni VARWakitoa hii mabeki watapata tabu sana
Inabidi mtu awe na mtu muda wote akimuacha tu
Hahah tena sheria inategemea na refa anavyoitafsiri akishindwa mmeliwa ndo maana sasa kuna refa wa pili ambaye ni VARHii mimi naunga mkono hoja.
Sikubaliani kabisa na hii sheria ..eti ya kuotea.
Waache hata kama mtu ataamua kupumzika kwa kipa pinzani.
Watu wacheze mpira.
2-0 au 3-1.Hii sijaipata fresh,
Ina maanisha Simba akienda Zambia kucheza na Nkana, tukapigwa 2-1
Inatakiwa ashinde goli ngapi kwa mkapa ili asonge mbele?
Yaan sheria hata marefa hawawezi kuitafsiri mpaka wameletewa VAR. Isitoshe kuna off side trick yaan mpaka unakosa ladha ya mpira.Yani unataka kuuwa mpira
Mpira ukiingia golini kidogo letsay ⅓sio goli ila mchezaji ukizidi hata ukucha tu sio mpaka mwili mzima off side. Isitoshe hata refarees zinawachanganya ndo maana wakaleta VARMpira wa miguu siyo rede chief. Ungekua unaangalia mpira ungejua kwanini offside ilikua introduced.
Sheria ya kijinga et mpita mpaka uingie wote golini ndo goli ila ukizidi ukucha tuu umeotea,Hii mimi naunga mkono hoja.
Sikubaliani kabisa na hii sheria ..eti ya kuotea.
Waache hata kama mtu ataamua kupumzika kwa kipa pinzani.
Watu wacheze mpira.
Refarii haziwachanganyi.Mpira ukiingia golini kidogo letsay ⅓sio goli ila mchezaji ukizidi hata ukucha tu sio mpaka mwili mzima off side. Isitoshe hata refarees zinawachanganya ndo maana wakaleta VAR
Do kazi yeke sasa akakae na viungo maana hata beki wa timu pinzan atakua hivyo hivyoWakitoa hii mabeki watapata tabu sana
Inabidi mtu awe na mtu muda wote akimuacha tu