Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

Sijapenda kabisa. Najuta ku update.
IMG_1928.jpeg
 
Kwa sisi wenye Whatsapp business huwezi ona status ulizokishatizama mpaka utafute jina la mtu. Mfano Hustla umepost status moja nikiiona nikitaka kuiona tena inabidi nitoke status niende kwenye profile yako.
Mbona kwangu naona
 
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels
Futa kauli.. hizo channel zimeanza kuonekana zina weeks 2+ sasa.

Mimi nilianza kuona tarehe 14 sept. Naikumbuka sbb kuna kitu nilikifanya katika simu.
 
Vijana wa hovyo wataanza kuunganishana kwenye chaneli za naniliu🐒
 
Telegram unaweza ukafungua akaunti ukaona imekuzingua ukaifuta ukafungua akaunti nyingine mwambie WhatsApp afanye hivyo, alafu kuna kitu kinaitwa Secret Chat yaan hicho kinapigwa lock mnachat hakitoki nje ni humo humo hakuna ku-share sijui kuforward
Na yeye atafika tu
Mwanzo si tulikuwa tunascreenshot picha za view once. Akaja kuzima
 
WhatsApp hawawafikii sijui wafanye nini Ila telegram ni level zingine na wakijaribu kuwasogelea wataleta vitu ambavyo WhatsApp hawajawahi kuviwaza hata siku moja
Kabisa telegram ni nzuri sana wa russia pale walituliza akili
 
Back
Top Bottom