Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

Telegram unaweza ukafungua akaunti ukaona imekuzingua ukaifuta ukafungua akaunti nyingine mwambie WhatsApp afanye hivyo, alafu kuna kitu kinaitwa Secret Chat yaan hicho kinapigwa lock mnachat hakitoki nje ni humo humo hakuna ku-share sijui kuforward
Kwa mtu ambaye hajawahi kutumi telegram au haitumii kikamili haiwezi kuelewa ubora wa Telegram ikifananishwa na WhatsApp

Kwa upande wa security Telegram ni zaidi ya WhatsApp
 
Nina wiki 3 toka ni update Whatsapp yangu naziona channel za taasisi mbalimbali TZ na Ulimwenguni. Ila nyingi nimeishia kuzi unfollow tu. Nashangaa wewe unasema kuanzia juzi sijui
 

Attachments

  • Screenshot_20231002_070557_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20231002_070557_WhatsAppBusiness.jpg
    64.4 KB · Views: 4
Kwa upande wa security Telegram ni zaidi ya WhatsApp
Ni zaidi ya zaidi ya zaidi ya WhatsApp telegram ni JINI lile dude sio Mchezo kuna makolokolo kibao watu wanadownload movie telegram WhatsApp tangu lini akaruhusu zaidi ya 1 GB video itumwe au iwe forwarded si ataua server zake mwisho ni 16MB
 
Back
Top Bottom