Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 112
Hela wanayo??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wameshindwa kutoa mishahara inayoeleweka ndio wataweza kusajili hao wanaotakwatajwa hebu kaa kimya wewe chura wa kijani stupid.....Wewe hukuwahi kuwa na akili, na huenda ni mojawapo ya mbumbumbu wa Rage. Hao ni wachezaji wazuri na ambao timu yoyote inayojielewa ingependa kuwa nao. Katika hali kawaida, kwa sakata la Feisal bila kujalisha ataondoka au atasalia, huturajii kuona Azam na Yanga wakifanya biashara ya wachezaji. Hawa ni watu wanaonyeshana jeuri kuwa kila mmoja ana pesa na wala hakuna biashara hapo.
Ingekuwa ni kupotezea sakata la Feisal, basi Yanga ingeweza kusajili wachezaji wanaotajwa tajwa kama akina Bobos etc.
Wewe wasema ila hao wengine wamekaza shingo huko wanaona kama dogo akisepa na timu imekufaMbona mashabiki wa yanga hatuna tatizo kuondoka kwa Feisal. Yani vyovyote itakavyokua tumeridhia akienda sawa akibaki pia ni sawa.
Kwa mtazamo wangu binafsi deal hii n nzuri kwa manufaa ya Feisal mwenyew na yanga sababu ata akibaki naona kabisa sio rahis kurudi kwenye kikosi cha kwanza labda timu isipate matokea Ila kama itaendelea kushinda bench litamuhusu sana.
Yanga tunahitaj sana winga fundi type ya Kipre Jr, kiungo kama Akaminko anaingia kwenye kikosi cha kwanza cha timu yoyote kubwa hapa bongo
Eti washamba, kaongoze basi hata timu ya ndondo tukuone ujanja wakoSwali la kujiuliza hapo ni Yanga walikuwa wakiwahitaji hao wachezaji toka mwanzo?
Kama jibu ni ndio, basi hakuna shida, lakini kama wamekurupuka ili kulipa kisasi cha Azam kumtaka mchezaji wao, basi utopolo ni washamba sana.
Uzembe wao wenyewe waliouweka kwenye mkataba wa mchezaji wao, umetumiwa na wajanja walioona gap, ajabu wananuna, sasa sijui wanamnunia nani kwa ujinga wao.
TUFUTAAA LAMBALAMBAAAAA NTALIPA UNA AKILI SANA MKUUKimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.
Dejan aliuzwa wapi? alitumia vipengere vipi kuvunja mkataba na nyie wajanja FCViongozi wanaoweka kipengele kwenye mkataba na mchezaji wao kinachowabana wenyewe, kwangu bora timu isiwe na viongozi tu.
Wajifunze kwa Azam, imewabidi waandike barua ya kuomba wapewe bei, kwasababu Azam sio wazembe wa kuacha mapengo kwenye mikataba ya wachezaji wao kama utopolo.
Hehehehe! Bongo kuna shida!Hivi kumtaka au kununua mchezaji wa timu nyingine officially ni kulipa kisasi? Hivi bongo kuna shida gani? Biashara imekua dhambi?
Yanga wamekamilika ndo mana fei azam wenyewe tu wamemkana labda kama una yakoViongozi wanaoweka kipengele kwenye mkataba na mchezaji wao kinachowabana wenyewe, kwangu bora timu isiwe na viongozi tu.
Wajifunze kwa Azam, imewabidi waandike barua ya kuomba wapewe bei, kwasababu Azam sio wazembe wa kuacha mapengo kwenye mikataba ya wachezaji wao kama utopolo.
Bongo ni hatari.Hehehehe! Bongo kuna shida!
Kipindi hata kabla ya sakata la Feisal, kuna mashabiki wa Yanga katika vibanda umiza walikuwa wanawatamani wachezaji hao hasa Akaminko asajaliwe Yanga. Sasa leo viongozi wanataka kuwasajili, inaonekana tena ni kilipiza kisasi! Hatari sana!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nyie na viongozi wenu vijana wanaofuata mawazo ya wazee wa klabu ni weupe sana, sijawahi kuona akili zenu ziko wapi, bado nazitafuta tu!We jamaa niwie radhi kukwambia hivi ila naona una tatizo mahali. Jizuie kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia otherwise kuna muda unaamua tu mwenyewe kuleta jokes
Swali la kujiuliza hapo ni Yanga walikuwa wakiwahitaji hao wachezaji toka mwanzo?
Kama jibu ni ndio, basi hakuna shida, lakini kama wamekurupuka ili kulipa kisasi cha Azam kumtaka mchezaji wao, basi utopolo ni washamba sana.
Uzembe wao wenyewe waliouweka kwenye mkataba wa mchezaji wao, umetumiwa na wajanja walioona gap, ajabu wananuna, sasa sijui wanamnunia nani kwa ujinga wao.
Unahitaji kuwa na akili kuliona hili, sio wapuuzu makolo waliofanana humuKimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.
Yanga wote ni hamnazo, wapuuzi sanaUnahitaji kuwa na akili kuliona hili, sio wapuuzu makolo waliofanana humu
Yap, wanavizia taji jingine na ujinga wao. Wengine wenye akili kazi yao ni kubadili makocha tu. Hawajui hata wanataka niniYanga wote ni hamnazo, wapuuzi sana
Taji la kucheza kigodoro labda maana hilo ndiyo mnaweza kufanya bila kutoa bahashaYap, wanavizia taji jingine na ujinga wao. Wengine wenye akili kazi yao ni kubadili makocha tu. Hawajui hata wanataka nini
We mwenye nazo pale kwa makolo unachangia kitu gani au ndo kulalamika mo kila siku.Yanga wote ni hamnazo, wapuuzi sana