Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 112
Mbona mashabiki wa yanga hatuna tatizo kuondoka kwa Feisal. Yani vyovyote itakavyokua tumeridhia akienda sawa akibaki pia ni sawa.
Kwa mtazamo wangu binafsi deal hii n nzuri kwa manufaa ya Feisal mwenyew na yanga sababu ata akibaki naona kabisa sio rahis kurudi kwenye kikosi cha kwanza labda timu isipate matokea Ila kama itaendelea kushinda bench litamuhusu sana.
Yanga tunahitaj sana winga fundi type ya Kipre Jr, kiungo kama Akaminko anaingia kwenye kikosi cha kwanza cha timu yoyote kubwa hapa bongo