Kwamba hii barua inavujishwa makusudi kuwaambia Mashabiki Azam FC walitakiwa kufanya hivi sio? [emoji2]
Ukweli mnaujua kwamba Wala Azam FC hawakuhitajika kufanya hivi kwasababu ya vipengele vya ule Mkataba havikuwalazimisha kufanya nyie mnavyotaka.
Barua ambazo zinatakiwa kuwa ni Mali na Siri ya taasisi kubwa kama zinavuja tu kama Pakacha.Haya ni Moja ya mambo ya Aibu kwa mwaka 2022.
Ule Mktaba wa Toto naambiwa watu walikuwa nao tu mtaani wanafungia Maandazi Imagine that.Hata Enzi za Mzee Ngozoma Matunda hali haikuwa hivi. Kwanini?
Na nasikia hata Mktaba wa Kalala upo mtaani.Na nasikia upo uchi zaidi kwenye vipengele vya kuuvunja kuliko huu wa Toto