Rasmi: Yanga yatuma barua kwa Azam fc kutaka kuwasajili wachezaji James Akaminko na Kipre jr

Rasmi: Yanga yatuma barua kwa Azam fc kutaka kuwasajili wachezaji James Akaminko na Kipre jr

Yanga wanataka kujua thamani ya hai,ili wapange Bei ya Feisal
 
Yanga imethibitisha leo kupeleka ofa rasmi kwa ajili ya kuwasahili viungo wa wauza ukwaju(Azam Fc) ambao ni Kipre Jr na Akamiko .

Yanga wamesema wko tayari kuwaogeza mshahara zaidi ule wanaolipwa na Azam Fc. Popat amekiri kupokea na wataijadili na menejimenti na benchi la ufundi na amesema hawana uswahili na Yanga ndo maana wamewauzia Sure Boy wakati ana miez 8 imebaki kwa mkataba...Je hii inahusiana na usajili wa Fei kwenda Azam Fc?

Tuendelee kunywa Mtori Nyama tutazikuta chini. Azam walichokonoa na walitest nguvu ya Yanga, wajiandae kisaikolojia kusumbuana na nguvu ya wananchi kipropaganda na kichokonozi.

Nyongeza :
Yanga wapo serious na usajili ya MIQUISSONE .

Wasafi Fm
 
Kimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.
Siyo kuwafundisha Azam bali ni kupanic tu kwa viongozi wa Yanga baada ya tetesi za feisal kutakiwa na Azam .

Tangu lini hivi vilabu viwili vya kariakoo vikafuata utaratibu wa kuwasajili wachezaji wa hizi timu ndogo?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wanaoweka kipengele kwenye mkataba na mchezaji wao kinachowabana wenyewe, kwangu bora timu isiwe na viongozi tu.

Wajifunze kwa Azam, imewabidi waandike barua ya kuomba wapewe bei, kwasababu Azam sio wazembe wa kuacha mapengo kwenye mikataba ya wachezaji wao kama utopolo.
We jamaa niwie radhi kukwambia hivi ila naona una tatizo mahali. Jizuie kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia otherwise kuna muda unaamua tu mwenyewe kuleta jokes
 
Ni ujinga tu Kama kulipiza kisasi,litimu Lina Mambo ya kitoto Sana,ili iweje sasa,
 
Wewe ni mjanja sana maana una akili sana kuwazidi viongozi wa yanga aisee🤔🤔
Viongozi wa yanga na simba ni lini walipata kuwa na akili.kwa vipindi vyote tofauti tofauti tangu uzijue timu hizi.
 
Yanga imethibitisha leo kupeleka ofa rasmi kwa ajili ya kuwasahili viungo wa wauza ukwaju(Azam Fc) ambao ni Kipre Jr na Akamiko .

Yanga wamesema wko tayari kuwaogeza mshahara zaidi ule wanaolipwa na Azam Fc. Popat amekiri kupokea na wataijadili na menejimenti na benchi la ufundi na amesema hawana uswahili na Yanga ndo maana wamewauzia Sure Boy wakati ana miez 8 imebaki kwa mkataba...Je hii inahusiana na usajili wa Fei kwenda Azam Fc?

Tuendelee kunywa Mtori Nyama tutazikuta chini. Azam walichokonoa na walitest nguvu ya Yanga, wajiandae kisaikolojia kusumbuana na nguvu ya wananchi kipropaganda na kichokonozi.

Nyongeza :
Yanga wapo serious na usajili ya MIQUISSONE .

Wasafi Fm
Usishindane na tajiri, Mwanasiasa mstaafu alijificja kwenye timu ataweza nini.huko chamami bado ni mipasho mazima.
 
Ni ujinga tu Kama kulipiza kisasi,litimu Lina Mambo ya kitoto Sana,ili iweje sasa,
Mbona mmepaniki Makolo? hivi kosa la Yanga ni kutuma offa ya kuwasajili hao mafundi? Nyie sajilini vibabu huko, acheni Yanga ifanye vile inataka!
 
Mbona mmepaniki Makolo? hivi kosa la Yanga ni kutuma offa ya kuwasajili hao mafundi? Nyie sajilini vibabu huko, acheni Yanga ifanye vile inataka!
Nashangaa kinachowakereketa ni nini? Wamemsajili babu Saidoo hamna aliyesema. Sisi kutuma tu barua wamewahi kufungua uzi, ndo' ujue kuna madafu na vichwa.
 
Klabu ya Yanga imetuma maombi ya kuwasajili nyota wawili wa Azam FC James Akaminko na Kipre Junior,

Klabu ya Azam FC kupitia kwa msemaji wake Hashim Ibwe imethibitisha kuwa Yanga SC imebisha hodi klabuni hapo kwa ajili ya saini ya wachezaji wake wawili mshambuliaji Kipre Junior na kiungo James Akaminko.

"Azam FC inathibitisha kupokea maombi ya Yanga sc mapema leo juu ya uwezekano wa kunasa saini ya nyota wetu wawili James Akaminko na Kipre Jr. Maombi yamepokelewa na hivi karibuni watajibiwa kama wanapatikana au la!"
 
Usishindane na tajiri, Mwanasiasa mstaafu alijificja kwenye timu ataweza nini.huko chamami bado ni mipasho mazima.
Sasa hapo wameshindana kitu gani?
Watu wametuma barua kuulizia kama wanapatikana.
 
Sasa hapo wameshindana kitu gani?
Watu wametuma barua kuulizia kama wanapatikana.
Hawana akili hao, kuna vitu vinatokea tanzania tu.TANZANIA KUNA VITU VITATU VyA HOVYO SANA LAKINI VINATUWEKA BIZE SAMA.CCM, SIMBA NA YANGA.
 
Hawana akili hao, kuna vitu vinatokea tanzania tu.TANZANIA KUNA VITU VITATU VyA HOVYO SANA LAKINI VINATUWEKA BIZE SAMA.CCM, SIMBA NA YANGA.
Hawana akili kivipi?

Bado unaweza kuishi Tanzania na usivifuatilie hivo vitu ukiamua kama umeamua kuvifwatilia tatizo ni lako.
 
Back
Top Bottom