Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Huyu jamaa nilimfahamu katika uzi mmoja Jf Kuna madu alikuwa anamzungumzia hapo nikaaenda moja kwa Moja Instagram katika akaunti yake kufuatilia.
1. Katika kipindi ambacho watu wanaopenda Amani walikuwa wanaogopa hata kukomenti mitandaoni kukemea Fujo za maandamano kwa kuhofia matusi na kejelu mwamba alijitoa kimasomaso kupambana live.
2. Jamaa hasifii CCM wala Rais bali anatoa madini muhimu kuachana na wanaharakati uchwara na watu kupenda nchi Yao kwa kutoshiriki katika Fujo za maandamano za aina yeyote.
3. Mwamba yuko updated halafu anaupiga za kichwa kwa hoja bila matusi Wala mihemko na watu wengi wameanza kumuelewa .
4. Sasa amekuwa mwiba kwa wanaharakati amekuwa akiwafichua kisawasawa kwa spana zilizoenda shule na anakabia kwa juu Wazee wa Fujo hawaamini macho Yao.
Mwamba anastahili Kongole maana sasa wabongo wameamka hadi mitandaoni wanakataa Fujo sio kama Zamani
Updates :
Mwamba kama alisoma Uzi wangu sasa rasmi anajiita Instagram kama Kaka wa Taifa_Tz