Rasmi : Zungu Kakere Og ndiye Kaka wa Taifa kwa uthubutu wake wa kuhamasisha amani Tanzania

Rasmi : Zungu Kakere Og ndiye Kaka wa Taifa kwa uthubutu wake wa kuhamasisha amani Tanzania

Kwa mujibu wa CCM.

Amani = Mauaji na Utekaji.

Taharuki = Kupinga Mauaji na Utekaji.
 
Huwezi kuongelea Amani pasipo Hakiki, huja nyingine kabla ya kuzidaka mjitafakari mara mbilimbili.
 
Huyo ni muhuni kama wahuni wengine kila mwenye njaa huwa ana njja ya kuingia mjini kutafuta umaarufu

Unatangaza balozi wa amani serikali ikiteka na kuuwa kimya ila wananchi wakireact unapanua domo huyo ni shoga tu
 
Back
Top Bottom