Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Sio mimi mkuu.Unajipigia debe
Bora hata umemsanukia parody la karismatic fela gemu chenja end intatainaUnajipigia debe
Pamoja sana mkuu bila kuchoka .
MINOCYCLINE akisoma hapa anafurahi kweli.Sio mimi mkuu.
Nashangaa Jf ambayo watu wake wanajiita home of great thinker wanakuwa wapuuzi kiasi Cha kuamini ukimsifu mtu basi ni ID yako na ukimsifia mtu nje ya Jf unajipigia promo.
Basi nakuahidi kesho panapo majaaliwa nitaandaa Uzi kwa makusudi wa kukusifia Kisha useme kuwa wewe ndio ID tabu nyingine najipigia promo.
Hata Mimi siipendi serikali Nina machungu mengi ya muda mrefu ila sikubaliani na njia za maandamano haswa haya ya fujo kama October 29 na nchi kuwa katika hali kama hii.MINOCYCLINE akisoma hapa anafurahi kweli.
Sio mimi mkuu.Bora hata umemsanukia parody la karismatic fela gemu chenja end intataina
GENTAMYCINEHata Mimi siipendi serikali Nina machungu mengi ya muda mrefu ila sikubaliani na njia za maandamano haswa haya ya fujo kama October 29 na nchi kuwa katika hali kama hii.
Thread yake tu ya kwanza kuiona nlijua huyu popoma
Huyo ana uniqueness fulani kwenye uandishi wake.Thread yake tu ya kwanza kuiona nlijua huyu popoma
I'm The Mafia boss with high IQ.Thread yake tu ya kwanza kuiona nlijua huyu popoma
Nafurahi kuona MaGreat sinker kama nyinyi jukwaani.Huyo ana uniqueness fulani kwenye uandishi wake.
Easy kumu identify.
Matambo mengiHuyo ana uniqueness fulani kwenye uandishi wake.
Easy kumu identify.
Yule mbirikimo?Bora hata umemsanukia parody la karismatic fela gemu chenja end intataina
Humo humo!Yule mbirikimo?
Kuna uzi mmoja kauanzisha jukwaa la michezo kwa akaunti mama halafu akaitagi parody yake ya Invisible Mafia.Matambo mengi
Kujisifia
Kuchanganya herufi kubwa na ndogo kwenye mianzo ya kila neno kwenye heading.
Nafurahi sana kuona Jf imejaa MaGreat sinker kama nyinyiMatambo mengi
Kujisifia
Kuchanganya herufi kubwa na ndogo kwenye mianzo ya kila neno kwenye heading.
Ndio maana nikajiita Invisible Mafia nishawaDivert watu kuanza kuzani kuwa mimi ni Genta.Kuna uzi mmoja kauanzisha jukwaa la michezo kwa akaunti mama halafu akaitagi parody yake ya Invisible Mafia.