Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Haha! Wewe unadhani hiyo avatar yake ipo hapo kwa bahati mbaya?Dah inaonekana haya mambo unayafahamu kwa undani. Hehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha! Wewe unadhani hiyo avatar yake ipo hapo kwa bahati mbaya?Dah inaonekana haya mambo unayafahamu kwa undani. Hehe
Rastafarian ni follower wa Haile selassie, jina la kuzaliwa la huyu king of kings ni Tafari, Ras ni tittle alipewa akiwa na 20’s. Ni kama vile followers wa Jesus Christ wanavyoitwa Christians. Mtindo wa nywele ni dreadlocks.Hivi "Rasta' ni mtu aliyeweka nywele za kirasta ama ni "religion" ? maana najua mawakili wengi ambao wana hizi nywele
Huyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri(RIP).ID, Avator pamoja na post yako vimeshabihiana sana
Nilimfahamu huyu shujaa baada ya kukaa mtaa wa Dedan Kimath mjini Morogoro. Nikatamani sana kujua historia yake.Huyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri.Amini usiamini huo mtindo wa kusokota nywele 'rastafarians' waliiuiga kutoka kwa Mau Mau. Ambao ndio waliufanya ukawa maarufu, maanake wote walikuwa wamesokota nywele wakiwa vitani kama ishara ya umoja wao na kurudia kwao kwenye utamaduni wa jadi na dini pia. Ndio asili yetu kabla hata urastafari haujaibuka kule Jamaica na nchi za Carribean. Inashangaza sana kwamba hadi sasa hivi kufuga nywele kwa mtindo huo huwa unaonekana kama uhuni flani hivi.![]()
but was talking about that creole you have used up thereHuyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri(RIP).Amini usiamini huo mtindo wa kusokota nywele 'rastafarians' waliiuiga kutoka kwa Mau Mau. Ambao ndio waliufanya ukawa maarufu, maanake wote walikuwa wamesokota nywele wakiwa vitani kama ishara ya umoja wao na kurudia kwao kwenye utamaduni wa jadi na dini pia. Ndio asili yetu kabla hata urastafari haujaibuka kule Jamaica na nchi za Carribean. Inashangaza sana kwamba hadi sasa hivi kufuga nywele kwa mtindo huo, hapa barani Afrika, huwa unaonekana kama uhuni flani hivi.![]()
Mkuu, hivi ni sahihi kwa true rasta kufanya hizo kazi za sheria? Hapo si kutumikia system ya Babylon? Ama imekaaje?Sio 'wig' inaitwa 'turban' yaani kilemba, atakuwa ni muumini wa Bobo Shanti. Dhehebu la kirastafari ambalo wafuasi wake huwa hawaoneshani dreadlock zao hadharani. Hao marastafari wengine huwa wanaitwa N'yabingi.
Kuna nakala fupi ya Daily Nation. The life and times of Mau Mau fighter Dedan Kimathi Kuna kitabu kizuri pia kuhusu historia yake, Kenya's Freedom Struggle: The Dedan Kimathi Papers by Maina wa Kinyati. Au ukitaka kusoma kuhusu kesi dhidi yake mkoloni alipomkamata, The Trial of Dedan Kimathi by Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Au uchambuzi zaidi kuhusu kesi hiyo kutoka kwa 'scholars'; Dedan Kimathi on Trial by Julie McArthur/Willy Mutunga(aliyekuwa CJ wa Kenya)/Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Vitabu vyote hivyo utavipata Amazon, by order, au unaweza ukavisoma online pia.Nilimfahamu huyu shujaa baada ya kukaa mtaa wa Dedan Kimath mjini Morogoro. Nikatamani sana kujua historia yake.
Nilikutana na nakala na vitabu hivyo wakati natafuta kujua historia yake. Ilinisisimua sana...Kuna nakala fupi ya Daily Nation. The life and times of Mau Mau fighter Dedan Kimathi Kuna kitabu kizuri pia kuhusu historia yake, Kenya's Freedom Struggle: The Dedan Kimathi Papers by Maina wa Kinyati. Au ukitaka kusoma kuhusu kesi dhidi yake mkoloni alipomkamata, The Trial of Dedan Kimathi by Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Au uchambuzi zaidi kuhusu kesi hiyo kutoka kwa 'scholars'; Dedan Kimathi on Trial by Julie McArthur/Willy Mutunga(aliyekuwa CJ wa Kenya)/Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Vitabu vyote hivyo utavipata Amazon, by order, au unaweza ukavisoma online pia.
Safi sana, nilidhani unaulizia references.Nilikutana na nakala na vitabu hivyo wakati natafuta kujua historia yake. Ilinisisimua sana...
Haha! Wewe unadhani hiyo avatar yake ipo hapo kwa bahati mbaya?
[emoji1][emoji1][emoji1] Rastafari ni zaidi ya dini yenyewe, ukisoma historia ya 'Pan-Africanism' na 'identity' ya mwafrika early 1900s. Ambayo sanasana ndio ilinivutia kujisomea mengi zaidi kuhusu 'movement' hiyo nilipokuwa nafanya research paper zangu za Anthropology.Dah inaonekana haya mambo unayafahamu kwa undani. Hehe