Rasta wa kwanza Mkenya kuwa Wakili

Rasta wa kwanza Mkenya kuwa Wakili

Hivi "Rasta' ni mtu aliyeweka nywele za kirasta ama ni "religion" ? maana najua mawakili wengi ambao wana hizi nywele
Rastafarian ni follower wa Haile selassie, jina la kuzaliwa la huyu king of kings ni Tafari, Ras ni tittle alipewa akiwa na 20’s. Ni kama vile followers wa Jesus Christ wanavyoitwa Christians. Mtindo wa nywele ni dreadlocks.
 
Huyu nadhani hatakosa kazi. Ana akili nyepesi na dini ya kipekee kuwahi kutokea ndani ya mahakama za Kenya. Mahakimu sijui watamdhania vipi? Ila nadhani akifungua kinywa na kushusha kiingereza kilichokula kikajinonea basi atafuta shauku yoyote ambayo mahakimu watakuwa nayo kumhusu.
 
ID, Avator pamoja na post yako vimeshabihiana sana
Huyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri(RIP).

C1a32tpDC5dk.jpg
Amini usiamini huo mtindo wa kusokota nywele 'rastafarians' waliiuiga kutoka kwa Mau Mau. Ambao ndio waliufanya ukawa maarufu, maanake wote walikuwa wamesokota nywele wakiwa vitani kama ishara ya umoja wao na kurudi kwao kwenye utamaduni wa jadi na dini pia. Ndio asili yetu kabla hata urastafari haujaibuka kule Jamaica na nchi za Carribean. Inashangaza sana kwamba hadi sasa hivi kufuga nywele kwa mtindo huo, hapa barani Afrika, huwa unaonekana kama uhuni flani hivi.​
 
Huyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri.
C1a32tpDC5dk.jpg
Amini usiamini huo mtindo wa kusokota nywele 'rastafarians' waliiuiga kutoka kwa Mau Mau. Ambao ndio waliufanya ukawa maarufu, maanake wote walikuwa wamesokota nywele wakiwa vitani kama ishara ya umoja wao na kurudia kwao kwenye utamaduni wa jadi na dini pia. Ndio asili yetu kabla hata urastafari haujaibuka kule Jamaica na nchi za Carribean. Inashangaza sana kwamba hadi sasa hivi kufuga nywele kwa mtindo huo huwa unaonekana kama uhuni flani hivi.
Nilimfahamu huyu shujaa baada ya kukaa mtaa wa Dedan Kimath mjini Morogoro. Nikatamani sana kujua historia yake.
 
I heard about the hero! pia nilisoma play ya the trial of Dedan Kimathi.
Huyo kwenye avatar ni mkombozi na shujaa wa nchi ya Kenya kwenye vita vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Kiongozi wa wapiganaji wa Mau Mau Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri(RIP).
C1a32tpDC5dk.jpg
Amini usiamini huo mtindo wa kusokota nywele 'rastafarians' waliiuiga kutoka kwa Mau Mau. Ambao ndio waliufanya ukawa maarufu, maanake wote walikuwa wamesokota nywele wakiwa vitani kama ishara ya umoja wao na kurudia kwao kwenye utamaduni wa jadi na dini pia. Ndio asili yetu kabla hata urastafari haujaibuka kule Jamaica na nchi za Carribean. Inashangaza sana kwamba hadi sasa hivi kufuga nywele kwa mtindo huo, hapa barani Afrika, huwa unaonekana kama uhuni flani hivi.
but was talking about that creole you have used up there
 
Sio 'wig' inaitwa 'turban' yaani kilemba, atakuwa ni muumini wa Bobo Shanti. Dhehebu la kirastafari ambalo wafuasi wake huwa hawaoneshani dreadlock zao hadharani. Hao marastafari wengine huwa wanaitwa N'yabingi.
Mkuu, hivi ni sahihi kwa true rasta kufanya hizo kazi za sheria? Hapo si kutumikia system ya Babylon? Ama imekaaje?
 
Nilimfahamu huyu shujaa baada ya kukaa mtaa wa Dedan Kimath mjini Morogoro. Nikatamani sana kujua historia yake.
Kuna nakala fupi ya Daily Nation. The life and times of Mau Mau fighter Dedan Kimathi Kuna kitabu kizuri pia kuhusu historia yake, Kenya's Freedom Struggle: The Dedan Kimathi Papers by Maina wa Kinyati. Au ukitaka kusoma kuhusu kesi dhidi yake mkoloni alipomkamata, The Trial of Dedan Kimathi by Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Au uchambuzi zaidi kuhusu kesi hiyo kutoka kwa 'scholars'; Dedan Kimathi on Trial by Julie McArthur/Willy Mutunga(aliyekuwa CJ wa Kenya)/Micere Githae Mugo/Ngugi wa Thiong'o. Vitabu vyote hivyo utavipata Amazon, by order, au unaweza ukavisoma online pia.
 
Nilikutana na nakala na vitabu hivyo wakati natafuta kujua historia yake. Ilinisisimua sana...
 
Haha! Wewe unadhani hiyo avatar yake ipo hapo kwa bahati mbaya?
Dah inaonekana haya mambo unayafahamu kwa undani. Hehe
[emoji1][emoji1][emoji1] Rastafari ni zaidi ya dini yenyewe, ukisoma historia ya 'Pan-Africanism' na 'identity' ya mwafrika early 1900s. Ambayo sanasana ndio ilinivutia kujisomea mengi zaidi kuhusu 'movement' hiyo nilipokuwa nafanya research paper zangu za Anthropology.

Marcus Mosiah Garvey, ambaye kwa njia moja au nyingine ndiye aliyetoa inspiration kubwa zaidi kwa movement ya Rastafari, ni miongoni mwa 'influences' za kutajika kwa viongozi na wengine wengi pia waliopagania uhuru wa nchi nyingi za Afrika. Kupita historia yake, kauli, hotuba na vitabu vyake kuhusu emancipation' ya mtu mweusi.

Watu kama Dedan Kimathi viongozi wenzake wa Mau Mau General Mathenge na Waruhiu Itote(General China) hadi kwa viongozi wengine kama Kwame Nkurumah, Nelson Mandela na hata Jomo Kenyatta.
 
Back
Top Bottom