[emoji23][emoji23][emoji23]Nauza hereni mikufu shanga vibanio rangi za kucha na za midomo na baaangiiliiii.....
Nauza hereni mikufu shanga vibanio rangi za kucha na za midomo na baaangiiliiii.....
sasa uwe jeshini alaf upeleke hiyo leseni yako uone kama utanyolewa au watakusukaNiaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa nywele zako kizembe..!
Wajuvi wa mambo haya Nisaidieni!
Jah Bless!
Mnatuharibia uzi wetu [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Maelekezo kituo cha kushukia kigambon na Tempo yao inaitwaje....!!?Mwanangu vipi unacho cha arusha hapo......Hekalu lao lipo kigamboni hapo utadhani nyumba inaungua ni moshi tu