Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Niaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa nywele zako kizembe..!
Wajuvi wa mambo haya Nisaidieni!
Jah Bless!
Wajuvi wa mambo haya Nisaidieni!
Jah Bless!