Rastafarians tukutane hapa!

Rastafarians tukutane hapa!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Niaje Wadau, kwa wajuzi wa mambo haya ya ki rastafari naulizia ishu moja, ishu yenyewe ni kuhusu Leseni (Nasikia ipo) ya urastafarian yaani hata ikitokea ishu ama la kutokea huwezi kunyolewa nywele zako kizembe..!

Wajuvi wa mambo haya Nisaidieni!

Jah Bless!
 
sasa uwe jeshini alaf upeleke hiyo leseni yako uone kama utanyolewa au watakusuka
 
Back
Top Bottom