Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Na we bangi ikakutuma uone kama ni mihemko?Mshana Jr kasema bangi mbaya, hajasema mbaya kwa nani? Hajasema mbaya kivipi, labda shina lake yeye ndio analiona baya? Labda ni mbaya kwa udongo wa mfinyanzi?
Kaacha wigo mpana wa kuujua ubaya wa bangi.
Tusiendeshwe na mihemko